Jamani hapa tusichanganye mambo. Ukweli ni kwamba Kamati hiyo ilikwenda Morroco bila hata kubeba Walau hata Afisa Mambo ya Nje ili hata kuwasaidia huku. Kibaya zaidi ni kwamba badala ya kukaa na kuongea yanayowahusu wenyewe wanaenda kuingilia masuala yanayohusu msimamo wa nchi kutu ambacho kinaskitisha. Ninachokujua mimi ni kwamba dimamo wa Tanazania haujabadilika bado tunaunga mkono Western Sahara lakini waheshimiwa hawa wameenda kulikoroga.
Ningekuwa Mwandishi wa Habari ningetaka kujua mwaliko huo wa nchi ambayo hatuna hata uhusiano nayo ilikuwaje ukapokelewe na Wabunge na wakakurupuka tu bila hata kuuliza kwa nini wamealikwa.
Ningekuwa Mwandishi wa Habari ningetaka kujua mwaliko huo wa nchi ambayo hatuna hata uhusiano nayo ilikuwaje ukapokelewe na Wabunge na wakakurupuka tu bila hata kuuliza kwa nini wamealikwa.