Kamati ya bunge yaitimua TCRA

sasa LUDOVICK UTTOH anafanya kazi gani?

CAG ndiye aliyeyabaini hayo madudu.

Na hizo usd. 350 walizokuwa wakilipana wajumbe wa bodi ni kwaajili ya vocha za simu tu Kwa wajumbe wa bodi achilia mbalimbali marupurupu mengine wanayojilipa.
 
Tatizo la nchi hii ni kwamba kila aliye wekwa kwenye nafasi ya kutumikia uma anaiba mali za wananchi,Nadhani watanzania tufike mahali sasa tukubali kufanya mabadiliko ya kiiutawala,tuungane pamoja tuiondoe ccm madarakani kwani tatizo ni mfumo wa utawala wa ccm kuwakumbatia Mafisadi,kama kiongozi wa ngazi ya juu anachota pesa mbele ya wadogo, hivi hawa wadogo wakila watadhubutu kuwakamata?
TCRA ni mamlaka ya serikali lakini kodi na malipo yote wanayochukua kutoka kwa wananchi wanatoza kwa Dolla,kumbe wezi watupu.
 
sijaelewa hii TCRA ipo kwa ajili ya nani na kwa ajili ya nini. Maana hata ukiangalia tabu tunazopata katika mawasiliano na huduma za internet kutola kwa makampuni. Lakini TCRA hakuna wanachotusaidia tunawaandikia kero kwenye magazeti mitandaoni lakini hamana cha maana wanachotusaidia TCRA+SUMATRA= WIZI

Mimi nilikuwa nafatilia kwa muda mrefu Regulatory Authority hii, nafikili tatizo za mashirika haya ni kuwa na PESA chungu mzima ambazo hawakuzifanyia kazi, zinazotaka na makampuni kodi/kulipia liseni ya mawasiliano/Radio/TV stations nk, kwa kuwa pesa zenyewe hazinakazi ya maana pale, basi jamaa wanachofanya ni kubuni mbinu za kuzitumia kwa fujo maana wanajuwa fika kesho zitakuwepo nyingine.

Utakuta muda mwingi wanapoteza kwenye makongamano,safari zisizo kuwa na mantiki kwa kisingizio cha kwenda kujifunza kwenye nchi nyingine - si pesa zipo BWANA. Mtu unashanga, shirika linashindwa kuwabana kampuni za simu zipunguze internetwork charges ambazo ziko juu sana - utakuta shirika lenyewe linaitisha mikutano na makampuni ya simu eti wawasaidie jinsi ya kumaliza tatatizo hilo - Kampuni ambayo ungetegemea ingekuwa serious kwa kuvunja cartel hii ya makampuni ya simu za mikononi kwa manufaa ya wateja/wananchi unakuta badala yake wanazibembeleza.

Hivi sasa naona kama kuna ushindani wa kuanzisha Regulatory Authorities chungu mzima nchini, maana wanajuwa hiyo ndiyo njia rahisi ya kupata pesa za bure na kuzifunja wakishirikiana na Some Board members ambao hawana uzalendo wowote, Shirika linawezaje kufuja PESA kama Board Chairman yuko macho! Haiwezekani, lakini kutowajibika kwa some Board Chairmen ndiyo unayafanya mashirika haya kuwa kama shamba la BIBI.

JK awe makini sana katika uteuzi wa Board Chairmen wa mashirika ya UMMA, kutowajibika kwao kikamilifu ndiyo unatuleteleza matatizo mengi katika Mashirika haya - Board Chairmen wawe vetted kwa umakini sana, hilo likishindikana wapewe wanawake ambao kwa sirika zao sirahisi kulubuniwa.
 
TZ nafuu iko wapi na nani msafi sasa ? Uzalendo na utiifu na uoga wa matumizi mabaya ya mali za umma uko wapi ?
 
Kuna kipindinilimsikia zito kuwa TCRA wanahela mapaka wanaikopesha serekali kwa ajilli ya miradi na matumizi ya kila siku ya serekali.
 
hizi regulatory authorities ni mzigo kwa wananchi tu, madhalani kama ewura wana faida gani kwa wateja wa umeme,maji na mafuta nchi hii hakuna udhibiti wowote, bei ya mafuta inatofautiana kutoka kituo kimoja cha mafuta na vingine tofauti kabisa na viwango vya vilivyowekwa na ewura.kuwepo kwao kunaongeza bei ya huduma hizo kama ada kwa mamlaka hizo, matokeo yake wanakusanya fedha nyingi kupita kiasi wasizozifanyia kazi zozote,wakati serikali inashidwa kulipa mishahara ya watumishi wake, ewura watu wanalipwa mpaka hela ya kuendea gym si upumbavu huu
 
Hao Voda ndo usiseme! Hii mi-promosheni yao ni ya kuwakamua tu wateja wao!

Ni wajibu wa TCRA kuwazuhia kampuni za simu kufanya yafuatayo: Kulazimisha wateje michezo ya bahati na sibu kwa kuwalaghai na maneno ya kitapeli, na mteja husipokuwa makini unakuta unakatwa shilling mia tano per SMS, kupoteza muda kwa kusikiliza matangazo ya biashara kabla hujaunganishwa - mtu kama una simu ya emergency unaweza kutupa chini simu kwa hasira, utangazaji wa biashara kwenye simu umezidi sana wateja wanahitaji mawasiliano siyo matangazo ya biashara-kama kunamteja anahijati huduma hizo za biashara basi a-subscribe na siyo kulazimishwa kusikiliza clap! TCRA imewapa a blank cheque kampuni hizi kufanya watakalo, mtu unaweza kufikili hakuna chombo cha Serikali cha kuratibu mambo hayo.

Kilichowahi kunishangaza zaidi kuhusu TCRA, ni pale walipo sema walikuwa hawajuhi SMS zilizokuwa zinatumwa kwa wateja wa simu za mikononi wakati wa vugu vugu la uchaguzi wa RAISI zilikuwa zionatoka wapi; we fikilia ajabu hiyo, lakini pale una ambiwa kuna Mkurugenzi wa ICT, naibu wake na maafisa chungu mzima wanao husika na ICT, watu hawa walishindwaje kujuwa nani alikuwa anasambaza SMS za uchochezi; bila juhudi za ITV ku-trace origin za SERVERS zilizokuwa zinatumika kusambaza SMS hizo hakuna mtu yeyote ambaye angejuwa kilichokuwa kinaendelea na nani muhusika!
 
hapo kaka umesema kweli kabsaa, yaani hao jamaa TCRA wangelikata kitu kidogo, dili lisingeshtukiwa
 
Ni wajibu wa TCRA kuwazuhia kampuni za simu kufanya yafuatayo: Kulazimisha wateje michezo ya bahati na sibu kwa kuwalaghai na maneno ya kitapeli, na mteja husipokuwa makini unakuta unakatwa shilling mia tano per SMS, kupoteza muda kwa kusikiliza matangazo ya biashara kabla hujaunganishwa - mtu kama una simu ya emergency unaweza kutupa chini simu kwa hasira, utangazaji wa biashara kwenye simu umezidi sana wateja wanahitaji mawasiliano siyo matangazo ya biashara-kama kunamteja anahijati huduma hizo za biashara basi a-subscribe na siyo kulazimishwa kusikiliza clap! TCRA imewapa a blank cheque kampuni hizi kufanya watakalo, mtu unaweza kufikili hakuna chombo cha Serikali cha kuratibu mambo hayo.

Kilichowahi kunishangaza zaidi kuhusu TCRA, ni pale walipo sema walikuwa hawajuhi SMS zilizokuwa zinatumwa kwa wateja wa simu za mikononi wakati wa vugu vugu la uchaguzi wa RAISI zilikuwa zionatoka wapi; we fikilia ajabu hiyo, lakini pale una ambiwa kuna Mkurugenzi wa ICT, naibu wake na maafisa chungu mzima wanao husika na ICT, watu hawa walishindwaje kujuwa nani alikuwa anasambaza SMS za uchochezi; bila juhudi za ITV ku-trace origin za SERVERS zilizokuwa zinatumika kusambaza SMS hizo hakuna mtu yeyote ambaye angejuwa kilichokuwa kinaendelea na nani muhusika!
namjua mkuu wao wa sheria..digrii moja ya mlimani na madaraka makubwaaa..hana hata exposure ya east africa..shhit!!!
 
Hivi huyu ndio baba yake CARO CHIPETA aliyepelekwa ubalozini London?
hapana ila ni hao hao..chipeta wa ubalozini huyo ni baba mkwe..sasa angalia life ya kifisadi ya mtoto na madudu ya baba yake mheshimiwa jaji...wateja wote wa mheshimiwa jaji wanaendelea na mtoto wake Walter chipeta..matumizi ya huyo kijana hapo mjini ni kama laki 5 kila siku..ushahidi utauona hapo Jack's..na mahoteli makubwa..ufisadi hapo mpaka tabaka fulani linyofolewe kwa upanga ndo utaisha..
 
Siyo TCRA tuu. hii kamati ya Bunge ipitie na MAMLAKA NA REGULATORY Zingine kuona jinsi waliopewa UBOSI huko wanavyoishi kama wanaofanya kazi kwenye mashirka ya UN. Safari za nje kila mwezi mara tatu kwa kutumia fedha yetu ya kigeni tuliyokuwa nayo. eti short course kuhusu kitu fulani ili mradi walipane. Nawasihi kamati hii ya Bunge ipite kila Mamlaka na Regulatory Orgs kuona fedah yetu inavyoliwa na kumilikiwa na MABOSI.
 
Sisi hapa ndo tunagawiwa tujipandie bajaj tena toka mwaka jana. Serikali imekuwa hodari ku create matumizi mapya kila uchao. Mtihani huu wangeuondoa.
 
we should be reasonble, hata kama ni kuporomoka kwa shilingi haiwezakani cost ikaruka from 27b to 45b increment of 18b! hii sio sawa, almost 67% ya ongezeko la bei hii haikubaliki! na hii wanayosema 2.2bil kusomesha watu watatu ni makosa ya kihasibu basi watwambie wamesomesha kwa shiling ngapi?na shirika limeingiza shs ngapi kuanzia utoaji wa lesseni na ruzuku toka serikalini na mwisho limetumia kiasi gani hadi sasa!lazima chupi ziwabane!wamezoea laizyfair!!nina uhakika hata hizi kamati zinaongwa! na huko tunakokwenda hata kamati tutakuwa tunazihakiki kazi zake na mwisho mbivu zitapatikana tu.
 
tatizo la nchi hii pamoja na kamati ya bunge kufanya kazi nzuri we utaona hakuna mtu atakaewajibishwa wala nini . management yoye na kabody kake fukuzilia mbali. BILA KUANGALIA USONI/ mimi nakasirika wewe!
 
Mwanangu hii nyuzi nilikuwa naiwaza niitupie wapi, ukweli ni kwamba sasa hivi kampuni ya TIGO ni wezi sanaaaa, mawasiliano duni sanaaaa. Mi siku hizi silalamiki tena i just act, ninachofanya ni kuwaconvice wale niliowapeleka TIGo wajitoe, nimeshafanikiwa kwa mama yangu, kaka yangu na dada zangu wawili, na nina marafiki kama watano to date tumeshachoka. ukiweka multiplier effect hapo lazima wajue, waambie watu wako watoke huko kwa ushauri wangu watu hamieni Airtel wakizingua nako tunachomoka acha hao TCRA waendelee kula ada zao sisi tujiokoe tunapoweza. Ntaitupa nyuzi ya tigo hapahapa kwa wenye akili nione watu watasemaje. Mods ipotezeeni.
 
Inasemekana kwamba regulatory bodies Kama Ewura, Sumatra, na TCRA zinakusanya fedha Ngingo na kuzifuja vibaya, Kwa mfan Hawa TCRA mwaka jana walitumia tshs. 2.3 bil tshs eti Kwa training ya staff wao, Jambo ambalo haliwezekani Kamwe. 2.3 bil Kwa watt watatu?!?!?!

Kwa hesabu za haraka haraka hawa staff wa TCRA kila mmoja alitumia 766m Tshs.kwa ajili ya TRAINING!
Kamati ya Bunge haijaenda deep zaidi kujua ni Training gani na wapi ziliendeshwa na Chuo gani????

Hii nchi imelaaniwa to the core! TCRA HAKUNA WANACHOZALISHA zaidi ya kukusanya tozo za kodi kutoka kwa operators wa Mawasiliano ya Simu,Radio na TV. Inashangaza sana kuona mtu ambaye hatoki jasho anajilipa vizuri kuliko hata hayo Makampuni yenyewe ya Simu,Radio na TV! Haingii akilini ati mfanyakazi anayekuja kazini kila siku na ana mshahara wake halafu ALIPWA POSHO YA KUJA KAZINI KILA SIKU!!!!!Wajameni hii nchi tunaipeleka wapi????

Kinachotakiwa hapa ni Kiwete kufumua uongozi wote wa TCRA plus Bodi yao ya Wakurugenzi. Hawa ni MAFISADI wapya kabisa ndani ya TCRA.
Prof. Nkoma hafai kuwa CEO wa TCRA kwa hali yoyote lazima arudi darasani akashike chaki. Pambaf kabsa!!
 
Back
Top Bottom