Huyo anazo nyingi kama mlima kapewa kila aina ya mabrief case iliyojaa mipesa kama ni mzalendo mbona anatumia ndege za Tanapa peke yake kwa gharama ya miloni mia moja kwa nusu saa,fdha za NSSF inamuweka mjini kikao kimoja anachopew yeye angeweza kujenga zahanati tano mwandiga mukiwa waongo muwe na kumbukumbu JF imerunza vielelezo na viambatanisho vilivyowekwa hapa google upate ufahamu wa jangiri la kisiasaNaanza sasa kumwelewa Zitto na nazidi sana kumtofautisha na wanasiasa wengine wa upinzani. Well done Zito na wote wanaopinga ongezeko la posho. Kabla hawajaongeza posho wawaongeze kwanza mishahara watumishi wa Umma hasa walimu.
Uongo mtupu.Kamati haijapendekeza kitu cha namna hiyo.
Huu ni uongo mkubwa wa kutaka sifa kwa Zitto Kabwe.
Where is mbowe,hajatoka hadharani kupinga-haha mnafiki mkubwa.
we huna akili.
we huna akili.
ukrane wameweza kumtimua rais sisi tunashindwa nini kuwatimua hawa wabunge? cdm acheni uoga,
Uongo mtupu.Kamati haijapendekeza kitu cha namna hiyo.
Huu ni uongo mkubwa wa kutaka sifa kwa Zitto Kabwe.
UNADHANI (MAN ALONE ) MBOWE ATAWEZA kuyapinga MAFISI ?
Hiyo kamati ya Posho si na Mbowe alikuwepo....!? imekuwaje sasa hiyo posho iongezeke na Mhe. wa Dubai alikuwepo kwny kamati......!!!?
Mlipoambiwa mbowe ni fisadi kuliko ccm mlikaidi. Ila bado kuna watu watakuja kumtetea tuHiyo kamati ya Posho si na Mbowe alikuwepo....!? imekuwaje sasa hiyo posho iongezeke na Mhe. wa Dubai alikuwepo kwny kamati......!!!?
Nilijua tu kana mtakuja na utetezi wa namns hizi. Kana uaminivyo ndivyo. Tunatarajia aje asimame mbele ya bunge na kueleza kutokukubalina kwake na kamati akiyokuwamo. Pia naamini saini zimepita hukoKura moja inatosha kuikataa? mbowe ndo rais? mpu ....z...