kamati ya Bunge imeitolea nje manspaa ya Ilala.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Ile kamati ya ya Bunge inayoongozwa na Mh.Mrema amegoma kopokea taarifa ya mahesabu katika manispaa ya ilala baada ya kukuta kunaupungufu wa 18bl mwaka 2010/2011 na 3bl mwaka 2009/2010 ambazo hazina maelezo zimeenda wapi.wamewataka wafanye malekebisho na kuwasilisha tena baada ya mwezi mmoja.mia
 
aisee hii nchi kuna watu wanaifaidi sana yaani kama ni ndoa basi ni kama mtu umemuoa binti bikira!
 
Ile kamati ya ya Bunge inayoongozwa na Mh.Mrema amegoma kopokea taarifa ya mahesabu katika manispaa ya ilala baada ya kukuta kunaupungufu wa 18bl mwaka 2010/2011 na 3bl mwaka 2009/2010 ambazo hazina maelezo zimeenda wapi.wamewataka wafanye malekebisho na kuwasilisha tena baada ya mwezi mmoja.mia

una matatizo gani wewe huko ulimini, punguza kwenda kule, ulimi utaisha huo
 
Back
Top Bottom