Pole ndugu yangu ajira kiukweli zipo ila serikali haina pesa za kulipa watu kama ikiwaajiri kwani inaukata mkali sana, Hawa waliopo kuwalipa stahili zao issue. Mwombe Mungu sana ili hali hii itoweke.
Duh! tunakoelekea siko, waliwaahidi vijana kuwa mwezi wa tisa mwanzoni wataajiriwa, sasa ona baada ya uchaguzi Igunga, sasa kimyaaaa! kwani nchi zingine wanfanyaje kukomesha huu uozo jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.