Kamati kuu ya CCM, yateua wagombea wa kujaza nafasi mbali mbali zilizo wazi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Jana tarehe 07/02/2016 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilikuwa na kikao maalum cha siku moja mjini Dodoma. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao hicho kilikuwa na kazi ya kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali zilizo wazi za uongozi ndani ya CCM mikoani na wilayani ambazo uteuzi wake upo kwenye Mamlaka ya Vikao vya Chama Taifa.

Nafasi hizi wazi zimetokana na sababu mbalimbali zikiwemo vifo na baadhi ya viongozi kukihama Chama na kujiunga na vyama vingine. Hivyo, nafasi zilizofanyiwa uteuzi na wagombea wake ni kama ifuatavyo:-

I. UENYEKITI WA CCM MKOA.

  1. ARUSHA
    1. Michael Lekule Laizer
    2. Emanuel Makongoro Lusenga
    3. John Pallangyo
2. SHINYANGA
  1. Hassan Ramadhani Mwendapole
  2. Mbala Kashinje Mlolwa
  3. Erasto Izengo Kwilasa
3. SINGIDA

(i) Hanje Narumba Barnabas

(ii) Misanga Mohamed Hamis

(iii) Mlata Martha Moses

(iv) Kilimba Juma Hassan

II. UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NEC

1. NYAMAGANA

(i) DR. Sillinus Elias Nyanda

(ii) Jamal abdul Babu

(iii) Kelebe Bandoma Lutelil

(iv) Patrick Kambarage Nyabugongwe

2. KAHAMA

(i) Pili Yakanuka Izengo

(ii) Paschal Ndibatyo Mayengo

(iii) Sweetbert Charles Nkuba

3. MONDULI

(i) Namelock Edward Sokoine

III. UENYEKITI WA CCM WILAYA

1. MONDULI

(i) Loata Erasto Sanare

2. SUMBAWANGA MJINI

(i) Chami Slegried Mask

(ii) Godfrey Mwimanzi Mwikala

IV. KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA MKOA WA KILIMANJARO

(i) Shadrack Amani

(ii) Chata Madata Joseph

(iii) Karia Ahmed Mahamoud

V. KATIBU WA SIASA NA UENEZI MKOA WA ARUSHA

(i) Semmy Rabson Kiondo

(ii) Shaban Omari Mdoe

(iii) Veraikunda Zablon Urio

VI. UENYEKITI WA UVCCM WA MKOA

1. ARUSHA

  1. Erick Edward
  2. Lengai Loy Thomas
  3. Mwanzani Omar
2. KILIMANJARO
  1. Amaly T.Mathew
  2. Frank Lumisha Nkya
  3. Juma Rahibu Juma
2. SHINYANGA

(i) Mabembela Joseph Elias

(ii) Mipanda kali Dalushi

(iii) Ndasa Jeremiah Damian

(iv) Shigela Reubeen Bernard

Ratiba ya chaguzi hizo itatolewa wiki hii mwishoni.

Kamati Kuu pia imepokea taarifa ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio Zanzibar na kuridhishwa na maandalizi hayo na kuwatakia kila la kheri Wazanzibar katika Uchaguzi huo.

Wakati huo huo, Kamati Kuu imetoa pole kwa Jeshi la Polisi nchini kufuatia vifo vya Askari Polisi watatu vilivyotokea tarehe 06/02/2016 mjini Singida kutokana na ajali wakati Askari hao wakitimiza wajibu wao kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM. Kamati Kuu inawapa pole wafiwa wote na kuwaombea majeruhi wote kupona haraka.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,

ITIKADI NA UENEZI

08/02/2016
 
Attachments

  • 298526075-TAARIFA-KWA-VYOMBO-VYA-HABARI.doc
    56.5 KB · Views: 76
Upuuzi tu huu.... Yaan CCM mngejua ambavyo wananchi wanavyowachukia....!! msidhani kuwa "wananchi kumuunga mkono Magufuli ni kuiunga Mkono "CCM" poleni ya kuumia wapuuzi ninyi
 
Matokeo ya kazi ya Lowassa hiyo!! Safi sana, mnajenga tutabomoa tena!!!
 
Wakati huo huo, Kamati Kuu imetoa pole kwa Jeshi la Polisi nchini kufuatia vifo vya Askari Polisi watatu vilivyotokea tarehe 06/02/2016 mjini Singida kutokana na ajali wakati Askari hao wakitimiza wajibu wao kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM. Kamati Kuu inawapa pole wafiwa wote na kuwaombea majeruhi wote kupona haraka.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye

Rambirambi zinapelekwa kwa jeshi la police pekee ............ CCM hamjui kuwa hawa watu walikuwa na wazazi, walikuwa wazazi na wana ndungu, jamaa na marafiki!!?
 
w
Upuuzi tu huu.... Yaan CCM mngejua ambavyo wananchi wanavyowachukia....!! msidhani kuwa "wananchi kumuunga mkono Magufuli ni kuiunga Mkono "CCM" poleni ya kuumia wapuuzi ninyi
wewe ndio una chuki na ccm. ruksa kujinyonga ukipenda. zaidi ya asimia 85 ya majimbo ya ubunge wananchi wameichagua ccm wewe kaaga kalakabao.
 
Jana tarehe 07/02/2016 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilikuwa na kikao maalum cha siku moja mjini Dodoma. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Kikao hicho kilikuwa na kazi ya kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali zilizo wazi za uongozi ndani ya CCM mikoani na wilayani ambazo uteuzi wake upo kwenye Mamlaka ya Vikao vya Chama Taifa.

Nafasi hizi wazi zimetokana na sababu mbalimbali zikiwemo vifo na baadhi ya viongozi kukihama Chama na kujiunga na vyama vingine. Hivyo, nafasi zilizofanyiwa uteuzi na wagombea wake ni kama ifuatavyo:-

I. UENYEKITI WA CCM MKOA.

  1. ARUSHA
    1. Michael Lekule Laizer
    2. Emanuel Makongoro Lusenga
    3. John Pallangyo
2. SHINYANGA
  1. Hassan Ramadhani Mwendapole
  2. Mbala Kashinje Mlolwa
  3. Erasto Izengo Kwilasa
3. SINGIDA

(i) Hanje Narumba Barnabas

(ii) Misanga Mohamed Hamis

(iii) Mlata Martha Moses

(iv) Kilimba Juma Hassan

II. UJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NEC

1. NYAMAGANA

(i) DR. Sillinus Elias Nyanda

(ii) Jamal abdul Babu

(iii) Kelebe Bandoma Lutelil

(iv) Patrick Kambarage Nyabugongwe

2. KAHAMA

(i) Pili Yakanuka Izengo

(ii) Paschal Ndibatyo Mayengo

(iii) Sweetbert Charles Nkuba

3. MONDULI

(i) Namelock Edward Sokoine

III. UENYEKITI WA CCM WILAYA

1. MONDULI

(i) Loata Erasto Sanare

2. SUMBAWANGA MJINI

(i) Chami Slegried Mask

(ii) Godfrey Mwimanzi Mwikala

IV. KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA MKOA WA KILIMANJARO

(i) Shadrack Amani

(ii) Chata Madata Joseph

(iii) Karia Ahmed Mahamoud

V. KATIBU WA SIASA NA UENEZI MKOA WA ARUSHA

(i) Semmy Rabson Kiondo

(ii) Shaban Omari Mdoe

(iii) Veraikunda Zablon Urio

VI. UENYEKITI WA UVCCM WA MKOA

1. ARUSHA

  1. Erick Edward
  2. Lengai Loy Thomas
  3. Mwanzani Omar
2. KILIMANJARO
  1. Amaly T.Mathew
  2. Frank Lumisha Nkya
  3. Juma Rahibu Juma
2. SHINYANGA

(i) Mabembela Joseph Elias

(ii) Mipanda kali Dalushi

(iii) Ndasa Jeremiah Damian

(iv) Shigela Reubeen Bernard

Ratiba ya chaguzi hizo itatolewa wiki hii mwishoni.

Kamati Kuu pia imepokea taarifa ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio Zanzibar na kuridhishwa na maandalizi hayo na kuwatakia kila la kheri Wazanzibar katika Uchaguzi huo.

Wakati huo huo, Kamati Kuu imetoa pole kwa Jeshi la Polisi nchini kufuatia vifo vya Askari Polisi watatu vilivyotokea tarehe 06/02/2016 mjini Singida kutokana na ajali wakati Askari hao wakitimiza wajibu wao kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM. Kamati Kuu inawapa pole wafiwa wote na kuwaombea majeruhi wote kupona haraka.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye

KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,

ITIKADI NA UENEZI

08/02/2016

..."Kamati Kuu pia imepokea taarifa ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio Zanzibar na kuridhishwa na maandalizi hayo na kuwatakia kila la kheri Wazanzibar katika Uchaguzi huo".

CCM hivi uchaguzi wa Oktoba 25 hamkuwahi kuubariki kwani?
 
Back
Top Bottom