Kamati Kuu ya CCM yakutana leo Ikulu kwa dharura!

Status
Not open for further replies.
Huyu zambi ni yule anayeburuzwa na anna kilango?? Kama ni huyo duu bora maige na wizi wake ..... Anamwita we zambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii njooo huku unanipotezea muda bwana.....teheteheteh
 
urais ni taasisi. Kuna vyombo na mfumo wa kufikia maamuzi. Hivyo labda useme vyombo na mfumo ndiyo dhaifu na si jk maana yeye si dikteta anayefanya maamuzi pekee!



hahahahah sio kwa jk kaka... Duh yani yeye siku zote lazima taasisi ya urais imshikie mtutu ili aweze kufanya maamuzi yenye busara zaidi ya hapo yeye anapenda kwenda kurusha mipasho kwa wazee wa dar- es salaam...
 
hivi kwa nini siku hizi vikao vya CCM vinafanyika IKULU!!??
kipindi cha nyuma tulikua tunawasikia CDM wanalalamikia matumizi ya pesa za wananchi kwa ajili ya kazi binafsi za CCM, leo hii baada ya kuonana na raisi tu hatuwasikii tena jamaa.

People's Power has been bought ama!!!???
 
Kuna umuhimu kwa CC ya CCM kukutana kwa sasa. Wimbi la wanachama kuhama toka CCM na kujiunga na Chadema si suala dogo hata kidogo ni suala linalowaumiza kichwa CCM. Chama ni wanachama sasa kama wanachama wanahama na kujiunga na chama cha upinzani kwa kasi ya ajabu ni hatari sana kwa uhani na maisha ya chama husika (CCM). Ni lazima wakae chini na kutafuta shina la tatizo na nini kifanyike kwa haraka. Kuongea na wazee wa Dar haitasaidia sana katika hili kwani kwa sasa Chadema wanamwaga sumu nchi nzima kwa kutumia M4C.

Ushauri wangu kwa CCM:- Ili kurudisha imani kwa wananchi na wanachama wachache waliobaki ndani ya CCM ni lazima kuwashughulikia mafisadi walio ndani ya Chama na nje ya chama bila kuoneana haya wala aibu. Kuwafukuza uanachama mafisadi na kuwapeleka gerezani (siyo kuwaweka kwenye first class rooms huko gerezani), kuwafilisi mali zao zote bila huruma. Kurudisha mashirika na makampuni yaliyotaifishwa pasipo ulazima wala umuhimu. Kuwataka wawekezaji kulipa kodi kihalali. Kumshauri Raisi apunguze safari zisizo na maana. Baraza la mawaziri lipunguzwe kwani ni mzigo mkubwa kwa watanzania. Suala la muungano liangaliwe upya, wananchi wa pande zote mbili wapewe nafasi ya kuujadili na kuamua kama wanautaka ama hawautaki. Kwa hayo machache yakifanyika katika kipindi hiki cha miaka miwili CCM inaweza kabisa kurudisha imani kwa wananchi na huenda wanachama wake waliohama wanaweza kurudi tena CCM.
 
Hivi nzi wa JF wamezeeka nn? Hawajanusa mpaka saa hii. Labda kwenye CC hamna Nyama oliyooza mpaka sasa.
 
Wana jamii hili tulichambue vizuri. Hivi hawa ccm kufanyia vikao vyao ikulu kuna uhalali gani? Je wanalipia pango? Nawakilisha.
 
Haya magamba kweli kweli!Dharura kwao inakuja tu wanapodhani vyeo vinakaribia kuvuliwa!hawana jipya hawa!I********ots
 
Uchaguzi ungeitishwa leo CCM wangeshindwa, nisikilizie kimbunga cha 2015! Viva CDM!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom