Kamati Kuu ya CCM yakutana leo Ikulu kwa dharura!

Status
Not open for further replies.
Hivi ukiongoza taasisi ambayo ni very weak unataka watu wasemeje? Kwamba jk anaangushwa na watendaji wake lakini yeye ni strong!!??

Acha propaganda za akina Wasira wewe!! Za zamani sana hizo!!
JK ni rais dhaifu sana....

urais ni taasisi. kuna vyombo na mfumo wa kufikia maamuzi. hivyo labda useme vyombo na mfumo ndiyo dhaifu na si JK maana yeye si dikteta anayefanya maamuzi pekee!
 
hivi nyie mnaamin taarifa zilizoletwa na Wa kusoma?. Huyu mzushi tu ndugu zangu. Nyie subirini Muone kama kuna kitu hapa. huu ni upepo utapita.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa katiba ya nchi hakuna mahali po pote ambapo rais anatakiwa kushauriana na chama chake katika kuteuwa au kubadilisha mawaziri!

Kama kuna kikao cha CC ya CCM kujadili mabadiliko ya mawaziri, HII NI MPYA na inaonyesha jinsi gani rais amezidiwa!
 
Ndiyo ni kesho...na agenda kuu si swala la muungano bali ni baraza la mawazir, kuna mabadiliko ambapo J.makamba, H.kingwangala, C. tizeba,S. masele na wengine wamo katika baraza jipya la mawazir....kama atakuwa kasikiliza ushauri na kuufata basi ngereja katupwa nje maana mzee(jk) alikuwa mbishi kumwondoa ngereja

kingwangala awe waziri?u must be kidding...mtu hata vyeti vyake vya magumashi
 
Nimekuwa nikipitia magazeti leo na kuona kuwa JK anaitisha mkutano wa CCM kamati kuu leo pale ikulu na hii si mara ya kwanza kusikia hili....Nikijaribu kufatilia huko nyuma sikumbuki kusikia marais waliopita wakifanya mikutano ya chama ikulu.....maana navyojua ikulu ni ofisi kwa ajili ya shughuli za utawala wa jamhuri ya muungano wa TZ na si chama cha CCM...hata ukifatilia wenzetu wanaofuata demokrasia ya kweli kama USA ambao JK huwahusudu.....huwezi kusikia mikutano eti ya democrats au republicans inafanyika white house!!..i never heard of this yaani.....only in TZ........tena kwenye utawala huu wa hawamu ya nne........labda nifahamishwe maana labda silijui hili.....lakini kwangu mi hili si la kawaida.......

Source: JK aitisha Kamati Kuu CCM ghafla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom