Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

nyie mnatudanganya! mara simu hazijaruhusiwa! mara wamesusa kikao, mara rostam! mara taarifa haztoki mpaka wamalize kikao! ebu kaeni kmya kama hamna taarifa zilizo rasmi.
 
Hili jamvimi naliamia kwa Breaking News....We subiria tu. silali leo.
 
Kazi imeanza!wanapoteza muda tu lakini lazima wajivue gamba kwani walikubaliana hivyo!
 
kama kweli hiyo kamati kuu inawapenda watanzania basi watafanya yafuatayo, na wakishindwa kufanya hivyo ujue tz chini ya chama cha magamba tumeumia.

1.wamalize tatizo la umeme lisiwepo tena

2. watuambie ni lini wataacha kutuletea ahadi nyingi zisizo na mashiko

3. ishu sio kujivua gamba, ishu ni lini hizo sumu za magamba zitahukumiwa mahakamani?

4. mikataba yote yenye utata na yenye maslahi kwa wachache ivunjwe mara moja na wahusika washtakiwe mahakama za kimatifa

5. ni lini ndugai na makinda wataacha kuwaonea wabunge wa upinzani bungeni?
 
Taarifa rasm zinasema mpaka sasa hakuna la maana lililokwishajadiliwa, kuna mivutano ya hatari jk kadharauliwa ile mbaya hlf naskia nape naye hali mbaya kwamba anakiua chama badala ya kukijenga.

Wajumbe wamekasirika baada ya kuona hamna agenda ya kujadili waliokataa kuvua gamba.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wadau Kikao kimecotton fire Chenge amemuingiza mjini Mwenyekiti kumbe ilitakiwa kabla hatujaanza kikao hiki ilitakiwa awe amejiuzulu na alikubali hivyo mbele ya Kikao cha maadili Lowassa ndo alikacha kabisa,Mwenyekiti kaumbuka ndani ya Kikao Wajumbe wamechachamaa Mkama toka alipoenda uani saa mbili hajarudi tena sijui leo kutakuchaje wanajf tusubiri tutaendelea kujuzana.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
JK hawezi kutatua matatizo kabigwa butwaa kero za watanzania kaziweka kapuni kaamua kutufanyia maigizo ya gamba.Hivi kweli ni watu wa 3 tu ndani ya chama ndiyo wasio na maadili?

Hivi ni nini impact ya wana ccm kuwa wana CCJ? je hii ni mbinu ya kuimarisha CCM au ni kuimarisha upinzani?mapacha poleni mnatolewa kafara ila watanzania tunaelewa mchezo tunaochezewa na jk
 
safi sana chenge kwanini wewe ujivue ngamba wakati wote ni magamba? nadhani chenge yupo tayari kujiuzuri kwa masharti kuwemwenyekiti naye ajivue gamba
 
Big up Neville Meena for that concise and balanced account. Sober pieces like this - lacking in innuendo and all - are what gives one hope in the future of Tanzanian reportage.

Hao CCM wamejaa uzushi hata wenyewe wanajua.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wadau Kikao kimecotton fire Chenge amemuingiza mjini Mwenyekiti kumbe ilitakiwa kabla hatujaanza kikao hiki ilitakiwa awe amejiuzulu na alikubali hivyo mbele ya Kikao cha maadili Lowassa ndo alikacha kabisa,Mwenyekiti kaumbuka ndani ya Kikao Wajumbe wamechachamaa Mkama toka alipoenda uani saa mbili hajarudi tena sijui leo kutakuchaje wanajf tusubiri tutaendelea kujuzana.

Safi sana chenge kwanini wewe ujivue gamba peke yako wakati wote ni magamba? nadhani chenge yupo tayari kujiuzulu kwa masharti kuwa mwenyekiti naye ajivue gamba kwanza.
 
- According to the dataz, Chenge amejivua gamba leo rasmi huko CC, kikao kinaendelea mpaka sasa!

Willie @ NYC, USA.

Willie @ NYC, USA, Hizo Data zako ni za ukweli? Mimi Silali mpaka nisikie Magamba wamechomana Moto na kukwanguana Ngozi Nataka Chama Kife leo leo
 
Back
Top Bottom