Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 257
safi sana ......hiki ndicho nilichokitaka......wakafie mbali kabisa ....
kwa mtindo huu madiwani cdm wana kazi kwani maslahi ya chama kwanza siyo wananchi kama wabunge wa ccm vile enzi za makamba
safi sana ......hiki ndicho nilichokitaka......wakafie mbali kabisa ....

Kamati kuu Chadema leo tarehe 7/8/2011 majira ya saa saba usiku imefikia maamuzi magumu baada ya kuwafuta uanachama madiwani wasaliti watano ambao ni kama ifuatvyo , John Bayo kata ya Elirai , Estomih Malah ( Kimandolu ) , Charles Mpanda (Kaloleni) na Rehema Mohamed wa viti maalumu. Hawa ni wale baadhi ya madiwani walioingia kihuni bila kufuata utaratibu wa Chama .

Kutokana na uamuzi huu Tume ya Uchaguzi italazimika kupanga tarehe ya uchaguzi mdogo.

Masikini CDM sifa zimewaponza wanaharibu ngome yao! Huo ndio mwanzo wa mwisho wa CHADEMA , just wait and see!
Swali ni jamaa wataamua kuingia CCM ili wajaribu kugombea tena?

Dawa yake inachemka atanyweshwa tu.Vipi kuhusu Shibuda

Kamati kuu Chadema leo tarehe 7/8/2011 majira ya saa saba usiku imefikia maamuzi magumu baada ya kuwafuta uanachama madiwani wasaliti watano ambao ni kama ifuatvyo , John Bayo kata ya Elirai , Estomih Malah ( Kimandolu ) , Charles Mpanda (Kaloleni) na Rehema Mohamed wa viti maalumu. Hawa ni wale baadhi ya madiwani walioingia kihuni bila kufuata utaratibu wa Chama .

Kutokana na uamuzi huu Tume ya Uchaguzi italazimika kupanga tarehe ya uchaguzi mdogo.

Swali ni jamaa wataamua kuingia CCM ili wajaribu kugombea tena?

What if wakienda mahakamani? Wanasheria tusaidieni...