Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

Sidhani kama kamati kuu inaweza kuja na mkakati wa kumuonea kiongozi wa chini haya ni maamuzi sahihi.

Ninaendelea kupenda style ya leadership ya cdm, utamaduni wa utawala wanaojaribu kuuingiza ktk siasa za tanzania hajakuwepo hasa baada ya mwalimu nyerere.Siasa za tanzania siku zijazo zitafanana na za Ezirael AMBAKO WAZIRI MKUU AKIWEWESEKA ANAPIGWA CHINI ON SPOT. hakuna kulemba,

Hongereni CDM kama kweli mumeridhika na kuhujumiwa, ccm wameharibu sana nchi hii kwa siasa zao za FITNA matokeo yake hakuna utawala bora
 
Ni gharama sana, demokrasia itaandikwa kwenye vitabu tu ila in practise ni gharama sana
 
Jose Vanil
nini tatizo jamani? Chagulani Adams nimjuavyo c'o kiburi bali ni mwanaharakati kama sisi, ametereza wapi tena?
 
Hapa bado kabisaa chama kichanga, full migogoro. Kikikua kitakuwaje????
 
Wanafiki ni kupiga chini tu!hatuna muda wa kuwabembeleza!Wale wa Arusha si walikua kama hawa?
Mbona walivyo pigwa chini wali jitambua na hatimaye kuomba msamaha!hata hawa piga chini then wata jirekebisha tu.
 
Yuda Iskariote naye alikuwa mtume mahiri tena alikuwa mshika fedha lakini alimsaliti YESU
Owawa Stephen J
CHADEMA yawavua uanachama madiwani wawili wa mkoa wa Mwanza na kuvunja Uongozi wa Chama Mkoa uku madawani wote wakipewa onyo kali,Maamuzi haya yameniumiza sana kwani moja wa aliyevuliwa uanachama ni Adam Ibrahim Chagulani diwani wa Igoma, Mwanaharakati mahiri tangu tukiwa UDSM.

Nini mustakabali wa Vijana ndani ya Vyama vya Siasa?
 
Ni ADAMU ibrahim CHAGULANI IGOMA NA HENRY MATATA KITANGIRI
Pia Imevunja uongozi wote wa chadema mkoa wa mwanza.sababu kuhujumu chama na kumvua umeya meya wa chadema kinyume na utaratibu wakishirikiana na maccm na serikali

Ni muislam aliingiaje huku????????????????
 
Ndio maana nawaambia vijana kila siku ukombozi mnaouzungumza mdomoni hautoshi, ingieni field muone kazi ilivyo ngumu. Sasa huyu Chagulani pamoja na jitihada zake za kuijengea CHADEMA imani kwa wanamwanza ambao wameshakuwa disappoited na CHADEMA anaishia kufutwa uanachama!!!

Humu jamvini kuna watu waliwahi kupinga kufutwa umeya kwa meya aliyepita na wakaweka hoja zilizotumika ikiwemo ile ya kanisa la wasabato. Wanamwelewa vizuri kiongozi wa mpango wa kuasi Chagulani wakalalamika sana kwa kuwa hoja zote zilionekana ni batili.

Chagulani anajenga chama kwa staili ya kujitafutia umaarufu. Kumbuka kampeni yake ya umeya ilianza zamani alipotaka chama kimteue akashindwa.

Baadae akahamia kujenga kundi dhidi ya Wenje ili arahisishe njia ya ubunge 2015 wenye busara wakamshutikia. Hata kampeni ya kumg'oa Manyerere yeye ndiye aliyeiasisi japo pamoja na magamba walifanikiwa. Huyu dogo anayo madhambi mengi tu.
 
Chagulani ameonywa mara nyingi lakini hakutaka kubadilika,nidhamu na subira ya kupata cheo ni muhimu katika siasa.
 
Owawa Stephen J
CHADEMA yawavua uanachama madiwani wawili wa mkoa wa Mwanza na kuvunja Uongozi wa Chama Mkoa uku madawani wote wakipewa onyo kali,Maamuzi haya yameniumiza sana kwani moja wa aliyevuliwa uanachama ni Adam Ibrahim Chagulani diwani wa Igoma, Mwanaharakati mahiri tangu tukiwa UDSM.

Nini mustakabali wa Vijana ndani ya Vyama vya Siasa?

Huyo aliingia choo cha kike CDM.
 
Huyo dogo chagulani ni kweli alikuwa mwanaharakati wa ukweli hasa kama kwa wale wanaokumbuka that time pale UDSM, lakini huyu dogo alianza kuchange baada ya kuukosa umeya na kuanza kuendesha propaganda feki za kumtoa meya wakishirikiana na CCM na serkali yake, kumbukeni huyu dogo alivyokuwa akimchomekea mhe.Wenje tuhuma chafu,

naunga mkono hoja by 100% kwani hii itajenga nidhamu kwa wajinga waliobaki wanaodhani kuwa wenyewe ni bora kuliko CDM.
 
Hapa bado kabisaa chama kichanga, full migogoro. Kikikua kitakuwaje????

Kikikuwa kitakomaa na kitaenenda kwa busara za kiutu-uzima. Achana na hii ya kwiba hapa kicha unaamishiwa kona ile bana na unaendelea kuiba kama kawaida
 
Ni ADAMU CHAGULANI IGOMA NA HENRY MATATA KITANGIRI
Pia Imevunja uongozi wote wa chadema mkoa wa mwanza.sababu kuhujumu chama na kumvua umeya meya wa chadema kinyume na utaratibu wakishirikiana na maccm na serikali

Lini walionywa?
 
Owawa,pole sana kwa kuguswa na jambo hili,na nadhani wote tumeguswa.sikumfahamu chagulani ila nilikutana naye wakati wa uchaguzi wa bavicha huu uliompa heche uenyekiti.mimi ni mwanafalsafa,nilisikiliza tu hoja zake,yeye,mtu anaitwa Ben,na mwakagila.baada ya kuchambua upeo wao haraka japo sikujua historia yao niliwashauri na ninakujibu swali lako la mustakabali wa vijana kwenye vyama vya siasa.jibu lako na ndicho niliwaambia wakati ule ni Vijana waache ujinga na kudhani siasa za daruso ziko applicable hata kwenye platform ya taifa.chadema kujitanabahisha kuwa chama cha vijana haimaanishi kwa mtizamo wangu kuwa sasa vijana hata wahuni,wasiojali wanaweza kupenya.kwa hiyo vijana wa chadema na hata ccm na wote kama swali lilivouliza tuwe watulivu na kuwa na nidhamu.

ningekupa like ila natumia simu. Nimekaa Mwanza kwa muda na kufuatilia siasa za pale kwa muda. Huyu bwana mdogo ana dream na illusion za kupanda chati haraka na kama wamemtema sijui ataingilia wapi tena.
 
Kama walikuwa wanahujumu chadema ni vema na haki kuchukuliwa hatua stahiki kama wale madiwani wa arusha ili iwe funzo kwa madiwani wengine wenye njaa kama hao
 
Inauma sana kwa tunaomfahamu Chagulani Adams pamoja na kuwa tunatofautiana kiitikadi alikuwa na amekuwa ndugu na rafiki yetu ambaye siku zote tunaheshimiana na kushauriana kwenye masuala ya kisiasa na maendeleo ya taifa letu la...Tanzania...... Amekuwa ni moja ya vijana waliojitoa muhanga kuipigania CDM kwa hali na mali tangu tulipokuwa mlimani, na hata wakati anakwenda kugombea udiwani kata ya Igoma hakusita kutafuta ushauri kutoka kwa watu mbalimbali aliokuwa akiwaamini. Its pirty kuona leo CDM wanamuondoa kijana ambaye ni resource kubwa sana ndani ya chama..... Naamini busara hekima vitatumika kuhakikisha haki inatendeka...............
 
Huu ndio uongozi unaotakiwa ambao mbeleni utaleta RESPONSIBILITY kwa kila Kiongozi atakayepewa madaraka fulani lazima a deliver la sivyo anaonnywesha mlango na sio kumwacha chamani aanzishe makundi ( kama magamba wanavyofanya ). Aliyetemwa ataomba upya na akirudi kundini atakuwa kajifunza na kubadilika. Tumezoea sana tena kwa muda mrefu kuona kiongozi akivurunda anahamishwa au wanagonja tusahau halafu anapewa wadhifa mwingine tena mkubwa zaidi.... Hao ni magamba.....
CC ya CDM imetoa mfano maamuzi yanavyotakiwa kutolewa na sio kuwaomba viongozi watuhumiwa eti waondoke wenyewe na wasipoondoka eti tutawaandikia barua..........sijui walishaposti au...............ccm bana!!!!! We acha tu
 
Back
Top Bottom