Kamati kuu ya CHADEMA inakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa kwa ajili ya kulijadili na kupitisha rasmi jina la mgombea Ubunge wa chama hicho jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nasari.
Wajumbe wote hadi jana walikuwa wamewasili na kikao hicho kitafanyika Arumeru Mashariki ndani ya jimbo husika la Uchaguzi.
SOURCE:MWANANCHI
Wajumbe wote hadi jana walikuwa wamewasili na kikao hicho kitafanyika Arumeru Mashariki ndani ya jimbo husika la Uchaguzi.
SOURCE:MWANANCHI