Kamati kuu CCM yawazuia Nape na Chiligati kwenda Igunga

Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.

Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.

Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.

Niko na gazeti la Tanzania Daima Toleo Na. 2433 la leo Jumatano trh 3 Agosti 2011.
Kichwa cha Habari kuu: Mkapa abebeshwa mzigo wa Rostam

  • [*=3]Aombwa kuzindua kampeni Igunga.[*=3]Nape, Sita, Kilango, Wabunge 100 nao wamo
Kwa vyovyote vile habari hii inaelezea tu kuwa kulikuwa na hofu ya siasa za makundi kuhusu ushiriki wao hata hivyo Chiligati amethibitisha watashiriki.
 
Igunga akienda Wasira jimbo litakuwa la ccm, maana huyu Tyson aliweza kuikomboa Tarime ngome ya chadema.
katika serikali hii amebaki Wasira tu mwenye uwezo wa kujenga hoja.
 
Igunga akienda Wasira jimbo litakuwa la ccm, maana huyu Tyson aliweza kuikomboa Tarime ngome ya chadema.
katika serikali hii amebaki Wasira tu mwenye uwezo wa kujenga hoja.
Watu wanabadilika siasa za vitisho zilikuwa zamani.
 
Pia Sitta,Mwakyembe,Mukama na hata Mwandosya nao hawawezi kwenda...na hata JK mwenyewe!!!
 
Niko na gazeti la Tanzania Daima Toleo Na. 2433 la leo Jumatano trh 3 Agosti 2011.
Kichwa cha Habari kuu: Mkapa abebeshwa mzigo wa Rostam

  • [*=3]Aombwa kuzindua kampeni Igunga.[*=3]Nape, Sita, Kilango, Wabunge 100 nao wamo
Kwa vyovyote vile habari hii inaelezea tu kuwa kulikuwa na hofu ya siasa za makundi kuhusu ushiriki wao hata hivyo Chiligati amethibitisha watashiriki.
Nakuhakikishia kama Nape akienda kuna hatari ya kuzomewa na kurudi kwa aibu kama Makamba alivyotoroka usiku Tarime.
 
CCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
.

weee hapo kwenye red haieleweki, unazungumzia kuhusu ukubwa wa msafara wa Nape au hekima na busara za Nape? sasa nani wanafuatana kama nyumbu? CCM au CDM? Haueleweki, au ulikuwa unasinzia? Kanawe uso kwanza ndo uje uchangie hoja.
 
Back
Top Bottom