KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

Gizakuu

Member
Apr 29, 2012
38
13
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba??!!!
TAFAKARI
 
Ukweli ni kwamba Hoja ya kuiwajibisha serikali iliibuliwawaa na wabunge wa CCM . Zitto kama kawaida yake akadandia Hoja ya wana CCM ili kujitafutia umaarufu. Timing ya Kamati kuu ya CCM imewaacha Chadema midomo wazi. Gharma ya kudandia Hoja za Watu bila utafiti.
 
Siyo kwamba wamefungwa mdomo kusema watachukua hatua kama chadema wasubiri matokeo waone kama yanakidhi viwango au laa si kujibujibu tu tumia akili bro
 
CDM hawakurupuki, wanafanya maamuzi yanayofaa kwa wakati mwafaka.. hicho ndiyo kiaifanya king'are kwa kiwango kile.

Ndiyo Maana CCM na Serikali yao, Usalama wa Taifa wote wanawaogopa.
 
Hivi taarifa ya mikutano ya Kamati kuu na baraza kuu zimetoka au bado mikutano inaendelea?

Kuna viporo vya taarifa bado havijatolewa vilikuwa vinasubori vikao: Taarifa ya Mkutano na Rais na Taarifa juu ya uchambuzi wa wajumbe wa Tume ya Katiba.
 
NIMEJARIBU KUSUBIRI KWA HAMU KUBWA TAMKO LA CDM, hasa baada ya move nzuri ya kuwabana mawaziri kupitia kwa waziri mkuu bungeni wawajibike, nilitegemea kabisa baada ya CC ya CCM< kamati kuu au baraza Kuu la CDM Taifa wangekuja na mkakati wa nyongeza kwa kile walichokianzisha bungeni.... lakini kwa maajabu ya mwaka baada ya Nape kusema kilichoamualiwa na CC ya CCM CDM wakanywea kama vile wamemwagiwa maji vile... Huu ni udhaifu mkubwa katika medani ya vita... ukimpiga adui kwa kutumia silaha flani akarudi nyuma, husimami hapo unasonga mbele kwa kutumia silaha nyingine inayofaa zaidi....kitendo cha CDM kusimama na kubaki kurudia kile walichosema CCM talalila ya MFUMO ni udaifu mkubwa kwa uongozi. Au mnataka tuamini ile stori ya kuwa hamkuelewana ndani ya Kamati kuu juu ya nanai hasa mmiliki wa hoja? ( kwamba hoja ilikuwa ya Zitto tu tena kwa kupewa na wabunge wa CCM bila kuwa na baraka za Chama Zitto akaibeba

Join Date : 29th April 2012

Posts : 9
Rep Power : 302
Likes Received 7

Likes Given 0

??!!!
TAFAKARI

Giza kuu karibu JF... Swali la 1 .....Umetumwa au unajituma??
 
Ukweli ni kwamba Hoja ya kuiwajibisha serikali iliibuliwawaa na wabunge wa CCM . Zitto kama kawaida yake akadandia Hoja ya wana CCM ili kujitafutia umaarufu. Timing ya Kamati kuu ya CCM imewaacha Chadema midomo wazi. Gharma ya kudandia Hoja za Watu bila utafiti.

Tehe tehe kama mlivondandia hoja ya katiba na mahakama ya kadhi. Mmepaliwa, mnaishia kukohoa ovyo tu.
CDM ni makini sana, wanaanzisha, nyie mwaingia tu. Ona mnavohangaika, kabla hamjasettle ya kadhi, mkapigiwa katiba, bila tafakari mkaanza kucheza, katikati ya katiba, mnatakiwa mmvunje baraza la mawaziri.
 
Ukweli ni kwamba Hoja ya kuiwajibisha serikali iliibuliwawaa na wabunge wa CCM . Zitto kama kawaida yake akadandia Hoja ya wana CCM ili kujitafutia umaarufu. Timing ya Kamati kuu ya CCM imewaacha Chadema midomo wazi. Gharma ya kudandia Hoja za Watu bila utafiti.

Kama ccm ndo waliibua ikawaje wasilitumie bunge kuwawajibisha? Mpaka walipoona wanakaribia kuzalilika ndo wakajifanya kuweka kikao na hiyo cc yao na kufanya shikizo la zitto pasipokuwa na matakwa yao, huku mwenyekiti wa ccm akiamini ni upepo wa kisiasa na utapita. Labda nikujulishe tu kwamba kama mambo yanayofanywa na ccm ni shinikizo la cdm we fanya kufuatilia tangia baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 utapa jibu
 
Siyo kwamba wamefungwa mdomo kusema watachukua hatua kama chadema wasubiri matokeo waone kama yanakidhi viwango au laa si kujibujibu tu tumia akili bro

Labda mwanzisha thread anafikiri cdm ni wakurupukaji ktk maamuzi yao kama ilivyo kwa ccm
 
Back
Top Bottom