Kamata fursa, Kuwa milionea

eddy lugongo

Member
Sep 13, 2014
63
21
Habari wanajamiiforums,

Katika maisha mafanikio yanaanza na Mtu kupata taarifa sahihi kwa wakati sahihi sehemu sahihi na kutenda kwa wakati sahihi.

Nikiwa kama mjasiramali nashare nanyi fursa hii.

Kampuni ya uwakala wa Biashara (Namaingo Business Agency) ni kampuni ambayo inaatamia wajasiriamali, wakulima, na wafugaji ili kuwezesha watu hao kuwa na kipato endelevu. Kipato endelevu ni kile kipato ambacho kama mwanachama ataweza jitengenezea pesa hadi hapo atapokuwa hanavuwezo wa kufanya kazi kwa uzee au sababu nyinginezo. Kampuni linafanya kazi na wadau mbalimbali wa serikali kama wafuatao, TRA, TBS, TFDA, SIDO, UTT, BRELA MIFUKO YA JAMII, TAASISI ZA KIBENKI, ARDHI, BIMA na VYUO VYA KILIMO.

Hii ni kuunga mkono SERA ya serikali juu ya Ushirikishwaji wa Sekta binafsi kusukuma Maendeleo ya Taifa na kipato endelevu. (Public Private Partnership). Sera hii ni kukamilisha malengo ya MKURABITA (ofisi ya Rais-Ikulu) na Baraza la Taifa la Uwezeshaji (Ofisi ya Waziri Mkuu).

Pamoja na kusainiana na wadau wa serikali utapata ELIMU na TAARIFA sahihi za: -

1. Suluhisho la ardhi, hati na Urasimishaji wa Biashara yako.
2. Suluhisho la wataalamu
3. Suluhisho la Masoko
4. Suluhisho la mtaji
5. Suluhisho la Makazi Bora.

Kampuni linazindua mpango wa vijiji biashara ambapo kupitia sera ya MKURABITA wananchi waliopoto mijini wataweza kumiliki ardhi vijijini tena bila malipo chini ya usimamizi wa kampuni, mwanakundi atapewa hati yenye jina lake katika eneo atakalo kuwa anamiliki.

Katika kufikia lengo kampuni limemlenga kila mtanzania awe mnufaika wa huu mradi.
Mnufaika atahitajika kutimiza vigezo vichache ambayo vitamfanya aweze kukopesheka na bank ya kilimo, mkopo ambao utasimamiwa na Namaingo Business Agency.

1. Utahitajika kuwa mwanachama, ambapo utahudhuria semina na madarasa mbalimbali yahusuyo ujasiriamali.

2. Kujiunga na NHIF ambapo utalipia kiasi kidogo.

3. Kujunga na NSSF n PSPF
4. Kufungua account CRDB
5. Kusajiri jina na biashara brela na TIN namba.

- Utalipia na ada ya uanachama pia.

FAIDA ZA KUJIUNGA

1. Elimu kuhusu ujasiriamali na value addition.
2. Soko LA uhajika ambopo vitu vote vitavyozalishwa vitanunuliwa na kampuni.
3. Mtaji, mwananchi atapata mkopo ambao hawezi pata bila kuws wanakikundi, mkopo wenye ribs ndogo nawamda mrefu
4. Makazi Bora.. Kupitia wadau wa NSSF utapata nyumba bora ndsni ya mkopo ambao utaingizwa kwenye project.

NOTE: Pesa ya mkopo hatapewa MTU mkononi Bali zitaendafanya kazi katika Vijiji biashara ambapo kila mwanakikundi atakuwa na eneo lake. Mradi umeanza MBAWA Rufiji. Poa kampuni linamatawi Njombe, Pwani, Tanga, Iringa,Mbeya, Songwe,Morogoro, Tabora, Lindi, mtwara, na Dar es salaam.

- Makao makuu n Ukonga- Dar es salaam.

Kwa Maelezo zaidi namba 0687460248. Hiyo ni kwa wakazi wa Dar es salaam.

If you can dream it, you can do it.
Dream big but start small.
Kamata fursa kuwa milionea.
 
Nimeenda mwnyw juzi kwny makao makuu ya hawa Namaingo Business Agency,kwa niliyoshuhudia ni kweli nimeshawishika kuwa hii fursa ni ya ukweli.

Wenye uzoefu zaidi na hii kitu changieni,this could be the next big thing where entrepreneurship is concerned.
 
Mbona ajibu mleta mada, alafu kiwango cha kujiunga ni bei gani? Maana kila siku zinaibuka mbinu mpya za utapeli
 
Back
Top Bottom