Kamanda Suleyman Kova

tonge nyama

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
380
498
Wadau nimesoma mtandao mmoja (global Publishers) ambapo nimeona wamemtaja Kamanda Suleyman Kova kuwa ni "alhaj", sasa swali langu ni kwamba je ni kweli alhaj au ndio mambo ya magazeti ya udaku? Mwenye taarifa kamili naomba azimwage.
 
Ukidhibitishiwa kwamba ni Alhaji itakusaidia nini?
 
Asalam aleykum napenda kukuhakikishia Donge Nyama .nikweli kamanda All-HAJI SELEMANI KOVA .kahiji mwaka huu .je? nikwanini umetaka kujua hilo?!!!!!!
 
utafiti zaidi unahitajika juu ya hili.

Chuku, mimi naona kama hakuna haja ya utafiti... Kamjingijingi amemaliza yote!! Nijuavyo mimi utafiti unahusisha rasilimali-watu na fedha na muda ambao ungetuletea tija zaidi katika mambo mengine zaidi ya huyu afande sele

Pamoja...
 
Itakusaidia nini hayo ni maisha yake binafsi.......yupo pale kwa utendaji wake sio imani yake
 
Back
Top Bottom