Kamanda Sulemani Kova; dawa ya foleni hii hapa

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.
 
Huoni aibu kuzungumza bila kufikiria katikati ya wanaofikiri?
 
[B said:
SolarPower[/B];1973614]kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.

Nilidhani SolarPower ni ufumbuzi wa matatizo ya umeme - hii hapa mbona inaleta giza?
 
kuanzia kesho tarehe -- 16.05.2011-- nauli ya daladala nchi nzima iwe shilingi elfu tano (5,000) tu kwa kila abiria bila kujali kuwa ni mtu mzima au mwanafunzi.

kuna uwezekano jamaa anajua yupo facebook!kumbe yupo JF!
 
Huoni aibu kuzungumza bila kufikiria katikati ya wanaofikiri?

mi nasemag JF IMEVAMIWA NA WATOTO WADOGO WA MLIMANI N SHIDA TUPU..MBONA ENZI ZETU AKILI ZILIKUWA ZIMETULIA AMA WAMEFANYWA SUPRISE KUWA KULE SHIDA TUPU DAWA YA HAWA NI KULIPA TU WAWE.........NA ADABU...................
 
Solar Power una mtoto wewe au ndiyo unajifunza kuchakachua? Laiti ungelikuwa na mtoto anayesoma hata vidudu usesema hoja kama hiyo japokuwa ume mnukuu makanda Kova.
 
mi nasemag JF IMEVAMIWA NA WATOTO WADOGO WA MLIMANI N SHIDA TUPU..MBONA ENZI ZETU AKILI ZILIKUWA ZIMETULIA AMA WAMEFANYWA SUPRISE KUWA KULE SHIDA TUPU DAWA YA HAWA NI KULIPA TU WAWE.........NA ADABU...................

Kelele ndezi, umri na hoja vinaweza visiendane. Afu mambo ya kukihusisha CHUO CHA TAIFA na huu upupu ukome!
 
Back
Top Bottom