Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda Siro ktk kivuli cha Siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ciril, Jul 7, 2011.

 1. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,460
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ktk taarifa ya habari jana kupitia ITV,vurugu zilizotokea Jana Kati ya Wamachinga na migambo wa jiji pamoja na jeshi la polisi kamanda Siro amesema pana tetesi kuwa vurugu hizo zilichochewa kisiasa na atazifanyia uchunguzi na ikithibitika hatua Kali za kisheria kuchukuliwa.
  •Ni kwa nini tatizo linapotokea Serikali inasingizia siasa?
  •Kwa nini Serikali ijifiche katika kivuli cha siasa?
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,460
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Kwa wenye data kamili huko Mwanza watusaidie je ni kweli upo uchochezi wowote wa kisiasa?Kwa nini wainyoshee siasa kidole?
   
 3. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 942
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Uwoga wa serikali kwa sasa ni siasa hasa ya CHADEMA, kumbe sivyo! watu wanaelewa haki zao na wanapojaribu kudai hawasikilizwi ndio maana wanaamua kuchukua hatua ya mapambano. Hivyo cover ya kusema siasa huchochea fujo haitadumu muda mrefu kwani kila siku wananchi wanafahamu haki zao na wanawajibika ktk kuhakikisha wanalinda haki hiyo.
   
 4. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfa maji.........................................!!!!
   
 5. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi cdm tunakubali kwamba tulitoa elimu ya uraia na watu watambue haki zao. Hatukuwafundisha kufanya vurugu. Vurugu huwa silaha ya mnyonge endapo haki zake zitaporwa, hiyo inatokea duniani kote. Peace does not mean the absence of war but justice.
   
 6. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  yeye ndo anataka kuleta siasa kwenye mambo ya msingi. Wananchi tumechoka kunyanyaswa na viongozi. Fuc... U!
   
Loading...