Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

Fred alisikitishwa, Nzowa amedhibitisha mwisho mtoaji wa shutuma atatoa kauli kuwa anashangaa sana kwani hakutoa kauli kama hiyo!!!!

Bongo tambarare, kila mtu na lwake na ujanja kuishi kimjinimjini tu.
 
huyu Nzowa hapa is just a per pet in order to dissolve the issue kwamba presda azauliwe/apuuzwe by talking lies to the religious leaders concerning illegal drugs in TZ.
By the way ukweli upo pale pale kuwa jitihada zake za kuwafunga midomo watumishi wa dini kwa kuwa front line kuishauri na kupinga serikali ya jk kukumbatia maovu/ufisadi insteady...the already justified..!

na ni vigumu sana kukwepa ukweli may be angebadili kauli at least we can trust him!...
advice presda achukue vacation......at least a month may be he can regain.....!but i'm not sure if it'll work to him..kwani lishakuwa sikio lakufa doesn't cured....! 2015 it's a very long to wait..!
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)
siyo mbongo huyo
 
Michezo ya chekechea . Mara akamatwe Mbowe watumie milion 50 kumleta Ar, mara Maaskofu, na mashehe ni drug dealers , mara Ochuku ndiye mlengwa .Veeere interestingi.
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)

Kasema wamezikamatia wapi? airport,nyumbani, kanisani au?
 
Naona mara nyingine tuliowapa majukumu ya kutekeleza na kusimamia sheria, wanafika mahali wanaogopa kuzitekeleza sheria. Kama amekamatwa yoyote irrespective who is she/he sioni kama kuna haja ya kuogopa kutaja jina. Tena ingekuwa fundisho nzuri sana na hata kwa wengine. Kulinda heshima ningekuwa mkuu ningewataja wote waliohusika ili kuonyesha kwamba yuko serious na anachokisema. Otherwise watu wataendeleo kuona ni yaleyale ya maki...da..ma..kida.. we need to be serious on issues sometimes!!! Kila mwaka tutawataja then siku zinaenda mpaka kipindi cha uongozi kinaisha anakuja mwingine the same..eh! too much bwana.
 
Polisi wamekuwa wababaishaji. Hata huyo mama aliyekamatwa juzi anayetumia sura sita (mama leila) polisi walimfahamu siku nyingi ila kuna mambo fulani walikorogana ndo maana wakaamua kumkamata muda ambao alitakiwa awe amelala na polisi walitakiwa wawe wamelala. Walijua nyendo zake ndo maana walimnasa kirahisi. Inawezekana kweli wakawepo baadhi ya watumishi wanaoshiriki biashara hiyo lakini si busara kutoa general comments kama alivyofanya rais.
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)

Jina la mchungaji huyo kama Mnigeria vile

Si aseme tu mchungaji raia wa Nigeria ndie aliyekamatwa
 
Na huyu mtumishi wa mungu yupi? Maana kila mtu kuna 'mungu wake' anayemtumikia. Ni kiongozi wa dini ipi? Dini yake inatambulika hapa nchini? Au ni msanii fulani hivi!! Any way kwa vile kesi iko mahakamani tungependa kujua ni mahakama ipi na lini tukasikilize wenyewe.
 
Mbona Fundi Maumba aliwahi kukamatwa akivila vitoto vya shule ya Mtendeni na hatujawahi kumsikia huyu jamaa akiwataka Wakw ere waache kuvila witi vitoto!

Kumkamata mjinga mjinga mmoja kwa kosa lake haku-justify kwamba watu wote wa jamii hiyo ni watenda dhambi hiyo.

Na dawa ya Mtendamaovu ni kumkamata na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria hata awe nani na si kuanza kuwatukana na wengine wote waliopo kwenye jamii ile kwamba ni waalifu,
 
mbona jina la kinigeria ambao hata viongozi wao wakubwa wa kisiasa ni drug barons!
 
Kamanda Nzowa wa kikosi cha kuzuia madawa ya kulevya amejitokeza na kumtaja Mch. Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa moja la 'kiroho' lililopo maeneo ya Kinondoni Biafra, kuwa ni mmoja wa wachungaji wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya. Amesema akiwa pamoja na watu wengine mchungaji huyo alikamatwa na kilo 81 za cocaine mapema mwaka huu, na kuwa katika pile ya watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya madawa ya kulevya, wapo pia viongozi wengine kadhaa wa kidini, ambao watatajwa baadae.

Source; Channel ten (Kipindi cha Baragumu leo asubuhi)

Mch. = Mchungaji Kuchupu Denis Okechuku wa kanisa.

Umewashuka shuuuuu!
 
Afande Nzowa, kweli ubambe kilo 81 kwa mxhungaji usiwaite waandishi wa habari kama mlivyozoea? We are tired of seeing only tilapias while the crocodiles are roaming freely while dining with big folks.:confused2:
 
Back
Top Bottom