Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

mmmh! JK mzima kweli? si angesema kuwa serikali haiko makini katika usajili wa mashirika hapa nchini, sababu inayopelekea kusajili hadi mashirika ya kuuza madawa ya kulevya wakidhani ni mashirika ya Dini???? Jaribu kwenda Brella ushuhudie uzembe uliopo na sio kupewa hotuba na kuongea tuu, washauri wake mwambieni anaaaibika mwenzenu!
 
Mtoa maada tupe wasifu na Majina ya hao watu, tafadhali hizi picha tumeziona sana
 
Ukweli ni kuwa udhibiti umekuwa Mdogo na Hilo siyo kanisa kwani ni wazungu wa unga wajanja sababu hawana mwanzo au kina... WEZI TU HAO
 
Huu ni udhaifu mkubwa kwa utawala wa JK. Yaani katishiwa nyau kaanza kutaja majina, tena ya wa-nigeria!, Aliyetaja mwenyewe hana moral authority (udhu) maana na yeye katuhumiwa kumbambikia mtu kesi ya madawa--mtoto wa Mengi!
 
Back
Top Bottom