Kamanda mpinga na kizungumkuti cha leseni mpya

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Kamanda mpinga,mkuu wa kikosi cha usalama barabarani nchini,akiojiwa na tbc saa 2. Usiku. Kasema zoezi la ukaguzi wa leseni limesimamishwa kwa wiki moja. Ameimiza madereva wote waende kubadilisha leseni ndani ya wk moja. Swali la kujiuliza,je madereva wenye lesen ambazo hazija-expire kwa nini wasiachwe hadi lesen zao ziishe muda wake?nani aliyetoa leseni ambazo hazijaisha muda wake? Huu ni ulaji/ufisad mwingine umeandaliwa. Kubadilisha leseni lazima mtu atoe sh laki mbili la sivyo lesen ya daraja la c utapewa madaraja ya ajabu. Huu ni mpango umeandaliwa kuibia watu wakti watu wanapeleka watoto wao shule huku gharama za maisha zimepanda. Nchi hii ni wizi mtupu!
 
Back
Top Bottom