Kamanda Mpinga ameaona hili?

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Kuna gari moja chakavu linapiga mzigo Rombo nimeliona kwenye gazeti la udaku ambalo hutolewa na Global Publisher, nimeshindwa kuweka hiyo picha hapa jamvini ila kama ningefanikiwa kuiweka nafikiri ingekuwa changamoto kwa Jeshi letu la Polisi hususan Trafiki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom