Kamanda Mawazo azidi kuibomoa ngome CCM kata Dodoma ktk kampeini udiwani

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu. Zikiwa zimebakia takribani siku 9 kuelekea kwenye uchaguzi wa madiwani kata 29 nchi nzima, upepo siyo mzuri upande wa ccm. Leo hii ccm wamemnyang'anya kadi ya uanachama mwenyekiti kitongoji cha Chisewo kata ya Msalato, Dodoma ndugu Charles Hoya baada ya kumkuta aki ipigia kampeini cdm pamoja na Kamanda Mawazo jana. Barua ya kumfukuza uanachama amekabidhiwa leo na yeye ameikabidhi leo hii kwa Kamanda Mawazo ikiwa ni pamoja na kujiunga rasmi kwenye jeshi la ukombozi. Huu ni mwanzo tu but time will tell. Naomba kuwasilisha.
 
hakika watu wameshachoka na ugumu wa maisha.safi sana mwenyekiti mzee Hoya
 
Back
Top Bottom