Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.

muda wenu wa kula goodtime unahesabika 2015 lazima mtangoka madarakani hata kwa mtutu
 
- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Malcela tangu lini wewe na ukweli mnaishi nyumba moja, unafiki ulianzia kule aliko baba yako aliponyanyapaliwa na chama kwa kuutaka uraisi kwa kubadili dini halafu akanyamaza na asijikune hata pua. Mgogo yule anaendekeza njaa na ni rafiki wa njaa angewezaji kuongoza nchi. Muulize Mkapa na JK walivyomfanya bado wewe utokeze pua tutakunyanyua kwa greda
 
Utakuwa umeambiwa na Nape si ndiyo we ulikuwa mwenyeji wake na jana tu ulimpeleka JFK?

- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Hapo kwenye Red - Kumbe ni kweli umeambiwa na Nape!!! JF kiboko! Hongera hata hivyo kwa kukiri.
 
Mkutano wetu upo pale pale na maandalizi yote yamekamilika,kimsingi kesho hapatatosha NMC
Asante mkuu kwa taarifa yako, nasikia kamanda wa kikosi Mbowe amewaonya polisi wasijaribu kutoa pua yao hopefully hawatafanya hivyo kwa kuwa na wenyewe si wajinga kiasi hicho.
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

We Vp wewe, nani kakutuma,Mshua au MaMdogo, Last time ukaja na Umbeya wako kuhusu chenge, ukajishushia heshima wana JF waliyokuwa wanakupa,leo tena unakuja na habari ambayo kimsingi ni ya uzush na sijui nani kakutuma kwa kweli, samahani ashakumu si matusi, watoto wote wa Viongozi wa CCM mnafikiri kwa kutumia Makalio, Masaburi, ndo maana mnaonekana vilaza na vituko kila mnapochangia mada, hv wewe kuishi New York hujapata tu hata ka exposure kadogo ka kukufanya u think Big? Nachelea ungekulia mitaa ya Mtera ndo ungekuwa Ndondocha kabisa yan, mshukuru Mungu
 
Duh..kumbe posho za bunge nouma,jamaa kasitisha research gerezani ili kuwahi posho.
Aangalie david cameroun asije kukinyima msaada CDM maana nasikia alikua ameng'ang'a jela afanye study na kupata uzoefu wa wafuasi wa kameroun
 
- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.
Sasa wakisema umeambiwa na NAPE unabisha, Watu wengine wabishi sana.
 
Back
Top Bottom