Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

- Mkuu Lema hatakiwi na Chadema tena na anajaua ndio maana kakatalia kutoka jela, naomba nimabie kama ni uongo hayo ya Malecela hayahusu hapa, ninasema Lema hatakiwi na Chadema, ndio maana alikataa kutoka jela, lets talk on that kama una ya Malecela yafungulie thread yake hii si inasema Lema au? ha! ha! ha!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
nyie ndiyo mtatafutwa sana nchi hii ikiwa under nguvu ya umma maana mmeifirisi sana hii nchi mtakuwa kama watoto wa Mubbarak wa Egypt.
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana! Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Bulayi, nakushauri uchunguze vyanzo vyako vya habari hasa kwa kigezo cha kukinzana na misimamo kuhusu maslahi gani wanayojitahidi kuyatetea na kuyahujumu.
 
Utakuwa umeambiwa na Nape si ndiyo we ulikuwa mwenyeji wake na jana tu ulimpeleka JFK?




- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Mkuu unajua ku-connect dots kweli, maana jamaa alimsindikiza Nape na baba yake mzee malecela, ni dhahiri kuwa dataz hizo ni kutoka kwa Nape na ni dhahiri kuwa CCM wana uhakika kuwa Arusha kutakuwa na uchaguzi mdogo wa ubunge. Mahakama yao na Jaji wao, ila wajiandae sana, maana costs ya kulichukua jimbo la Arusha inaweza kuwa ni zaidi ya benefits
 
Wanajf tutulie kidogo. calm down wandugu. JF inasifika kwa wachangiaji kujibu hoja kwa hoja. Lakini naona kama tuna-personalise mambo zadi badala ya kujibu kwa hoja. Kuna thread nyingi tu siku hizi tunachangia kwa kumshambulia mtu personally badala ya kumnyonga kwa hoja. 'Tuvute pumzi ili jukwaa hili liendelee kuwa 'home of great thinkers' . Tafadhali

Nashukuru kwa maoni yako ya busara; lakini unanitatiza kuona au kutambua virusi vilivyoingizwa JF kuchafua hali ya hewa na magamba. Hata kujibu upuuzi wao nasema ni great thinking na mara nyingi inawatuliza mashetani vichwani mwao, hata kutibu madhara yao. Ona uzushi wa Malecela unaounganisha kuhusika na Nape ukipigiwa upatu na orodha ya mamluki wa Nape hapa JF? Soma michango ya ritz na timu yake utatapika ili utapike vizuri unawatapikia humu JF.
 

- Nape ameniambia kuhusu hii Topic, lakini hata siku moja hatuna uhusiano wowote wa dataz!
Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Ni haki yako kuwa na uhusiano na Nape, lakini ujue gharama yake kwa sababu Nape ni mkuu wa propaganda za CCM ambao hata wenyewe wamemkifu.
 
Kuna mtu anaweza kukanusha habari ya William Malecela kwa kutupa maelezo ya kina? Kabla ya kumshambulia William tujiulize hizi habari katoa wapi? na nini hasa kinaendelea Arusha? Usikute ccm baada ya kuwahadaa wale madiwani bado wanaendelea kutafuta namna ya kuvuruga CHADEMA Arusha? It will not cost CHADEMA anything kuangalia hii habari ya William kwa mawani!

Nanyaro katoa hii habari kwa wadhifa wake unaotambuliwa na kila mtu wa Arusha. Huyu Malecela hizo habari anazotujuza hatoi chanzo ni upuuzi wa aina yake.

Mimi wanachofanya CCM Arusha kinanihusu tu pale wanapohatarisha fikra sahihi tulizo nazo zinazoratibiwa na Mbunge wetu pamoja na CDM. William hizo habari kawekewa mdomoni avinjari nayo hapa JF. Hakuna cost yo yote kwa CDM bali ni ammunition ya kufire full throttle.
 
If Tanzania needed a leader at crucial time then listen to this speech, long after Mwalimu has gone we are faced with the same fundamental issues that they tried to confront at the onset of our independence, but where is the Tanzania Goverment? Where is our president? Where is a true leader since Mwalimu has gone?

This current generation of our leaders who are corrupt and selfish, they delude themselves having the right to rule us. I hope time will tell one day, a new generation(G Lema, Mnyika, Zitto, Jr Makamba, Mzee Mwanakijiji etc) can emerge, driven by personal convictions and ideologies and not selfishness thats pitting Tanzanian against Tanzanian. Tanzania will endure and rise from the ashes but the curent crop of politicians will be judged by history and it wont be kind to them. Lets pray for our motherland regardless of our ethnicity and emotions God bless Tanzania.
 
Kweli JF imeshughulikiwa kama Nape na Msekwa walivyoahidi mapema mara baada ya kuundwa Secretariate mpya ya CCM!
 
If Tanzania needed a leader at crucial time then listen to this speech, long after Mwalimu has gone we are faced with the same fundamental issues that they tried to confront at the onset of our independence, but where is the Tanzania Goverment? Where is our president? Where is a true leader since Mwalimu has gone?

This current generation of our leaders who are corrupt and selfish, they delude themselves having the right to rule us. I hope time will tell one day, a new generation(G Lema, Mnyika, Zitto, Jr Makamba, Mzee Mwanakijiji etc) can emerge, driven by personal convictions and ideologies and not selfishness thats pitting Tanzanian against Tanzanian. Tanzania will endure and rise from the ashes but the curent crop of politicians will be judged by history and it wont be kind to them. Lets pray for our motherland regardless of our ethnicity and emotions God bless Tanzania.

Mkuu hii nchni haiwezi kujengwa na Mtu mmoja au baadhi ya watu wachache kama wewe unavyofikiri na kama njozi zako zinavyokuelekeza. Alafu husirudie tena kuchanganya jina la Mwanakijiji na hao wagonjwa wako wa ki-fikra.
 
Tungekuwa na viongozi aina ya Lema watano tu ndani ya serikali naamini tungekuwa tumeshakomesha rushwa, ufisadi na viongozi kunung'unika badala ya kuchukua hatua. Bravo kamanda lazima tutashinda.

Peeeooppplllllleeeee's Poowweeerrrr!!!!
Tena viongozi hao wagawanyike pande tano za tanzania; Kati. Mashariki. Magharibi. Kusini na Kaskazini.

Nawasilisha
 
Mimi naelekea Gongolamboto,lakini all in all point yako haina mashiko,na nitaarifa za umbeye umbeya tu ili kutaka kuwachanganya watu,na kama una taarifa za uhakika si utueleze CDM wanataka kumtosa kwa sababu zipi?tatizo source ya habari zako ni mtu amabae wengineo hatuwezi hata kujadili kitu juu yake,maana ni mtu wa kutopoka tu!na kingine sidhani kama mtoto wa nyoka anaweza akawa senene,wala sitegemei mtoto wa pundamilia akakosa mistari.hapa namaanisha wewe ni wa uzao wa fisadi haitatokea ukawa na taarifa zenye mashiko kwa upande wa pili.karibu Goms,mi usinikaribisha Boston,nitaugua
 
- Mkuu angalia nilianza lini haya mambo ya mitandao, halafu uniambie kwamba Nape ndio chanzo cha dataz zangu vipi mkuu siku hizi naona huku hakna tena hoja kujibiwa kwa hoja, ila hoja kujibiwa na matusi na majina, vipi kumkoma nyani siku hizi?

Le Mutuz! Willy @ NYC, USA.
Nikweli unaweza kuwa upo kwenye mitandao siku nyingi lakini muhimu ni chanzo chako cha habari maana bongo kwa kuzushia... hasa wapambanaji si haba. Lema hakukamatwa na CDM bali jeshi la polisi tena akiwa nje ya ofisi yake sasa hilo lako sijui linaingiaaje hapa.. ila mtoa taarifa wako inaonekana hapendi kufanya utafiti angekuwa na la zaidi kukueleza ambalo lingekuwa na maana zaidi.

Jiulize kukatalia magereza kutazuia nini kama cdm kinampango wa kumtosa?! Kama ni kujenga umaarufu mbona tayari anao na hasa umaarufu alionao ni wa chama hata mashabiki wake wanasema wanamshabikia kwakuwa yuko cdm na ni jasiri.. Watanzania wanachotaka sasa hivi ni kuzungumzia matatizo yao pasipo woga wala kumumunya maneno na ndivyo viongozi wa cdm walivyo..

Halafu nikushauri jambo moja bwana Willy usihangaike kujibu wanaokutusi au kukubeza kupitia baba nk. utakuwa unapoteza muda bure, haijalishi wewe ni zao la nini muhimu ni mwelekeo wako na uzalendo wako kwa Taifa letu.
 
Mkuu hii nchni haiwezi kujengwa na Mtu mmoja au baadhi ya watu wachache kama wewe unavyofikiri na kama njozi zako zinavyokuelekeza. Alafu husirudie tena kuchanganya jina la Mwanakijiji na hao wagonjwa wako wa ki-fikra.

Seek to understand those with whom you disagree, and it will take you far. Seriously investigate and consider viewpoints that differ with your own.
Look for a reason behind the unreasonable. Look for a purpose behind the ridiculous.

You do not have to agree in order to understand. You do not have to give in to another viewpoint in order to gain something of positive value from it.
 
Malecela mkuu kwa hili umedanganya kabisa na vema pia urudi kuomba msamaha kwa kuudhalilisha umma
 
Tangazo linapita sasahivi kwenye viunga vya mji wa Arusha kuhusu mapokezi ya kamanda Lema akiongozana Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe pamoja na viongozi waandamizi kesho baada ya kutoka mahakamani. Mkutano utafanyika uwanja wa Ukombozi wa NMC Arusha.
 
Tangazo linapita sasahivi kwenye viunga vya mji wa Arusha kuhusu mapokezi ya kamanda Lema akiongozana Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe pamoja na viongozi waandamizi kesho baada ya kutoka mahakamani. Mkutano utafanyika uwanja wa Ukombozi wa NMC Arusha.
Asante sana mdau kesho tumaomba utupe utamu wote wa picha na maneno yatakayo tokea na kusemwa. Jiandae kutupa utamu wa kesho
peoples power!
 
Back
Top Bottom