Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

Habari za CHADEMA kumtosa Lema,hazina ukweli wowote ni uzushi usiokuwa na msingi.
 
- Yaaaani JF imefikia hivi? ha! ha! ha! sasa wakuuu naomba kuondoka kwaherini I mean this is way too high!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Wewe Willy @ NYC USA, ni bora ungekaa kimya na kuacha kulumbana na wananchi wenye hasira kali!Maisha magumu lakini nyie watoto wa vigogo hamlitambui hilo kwa sababu ulikuta Green light todate!

Utamweleza nini mwananchi ambaye hajui school fees ya mwanaye itatoka wapi?kodi ya nyumba hajalipa,mlo mmoja kwao ni kawaiiida?
Unajua sukari TZ kupata ni kama umepata LULU?
Mie ni mlalahoi @ Arusha ,eneo ambalo mpaka leo mbunge hajawahi kuapishwa,na serikali yenu imekaa kimya tu!!
 
Swala la kufanya mkutano sio option,lazima tufanye,tumeshapeleka taarifa polisi,lakini pia Kamanda Mbowe akiwa na Viongozi wa wilaya na mkoa wa CHADEMA walifika ofisini kwa RPC na kumweleza hivyo mkutano wetu NMC upo na utahutubiwa na viongozi wa kitaifa,akiwepo Mwenyekiti na Katibu mkuu
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!

Naona baada ya uovu wa chama chenu kuwekwa hadharani mnatafuta escape route....My friend, best is yet to come hold on muone siasa zinavyowezakufanywa ki science!
 
- Mkuu wangu Lunyungu ni text namba yako ya sasa kwenye + 1 914-473-1033 nitakutwangia baack maana nimepita tu hapa kidogo baada ya Nape kuniambia asubuhi hii kuhusu hiii topic na nyingine kule, otherwise nimezidiwa sana na shughuli siku hizi muda ni mdogo sana, nitumie text ya namba yako nitakupigia, sasa hivi naelekea Boston nipo safarini!

Much Respect Bro!

Le Mutuz Baharia Willy @ NYC, USA.

he kumbe kweli source yako ni NEPI oooh sorry Nape...!
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Mkuu acha uongo mchana kweupe! Lema anazidi kupendwa wewe unasema anataka kutoswa!
 
Hivi bado mnamwamini Will Jumanne, siku hizi hana kitu limebaki jina tu mtakumbuka siku ile ya NEC alivyotudanganya kuwa Chenge amesha fukuzwa kwenye chama, siku hizi amebakiza umbea wa kina Nape akizidiwa hoja anaanza kuchekacheka ka shoga.
 
william malechela

hivi unajua bei ya kibobo cha mkaa hapa nyumbani na dollar against TZS?

au umeshaanza kurithi lile jimbo la same ma*****
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
mkuu ww uko USA unakula bata.......hyajui watoto wa wanyonge tunayofanyiwa.....nyie si ndo mnaosaidiana na Nape kuweka matawi ya sisiem kwenye car wash..halafu ww si ndo mtoto wa kigogo flani???????? sa utachangia nn kwa hilo??????
 
william malechela

hivi unajua bei ya kibobo cha mkaa hapa nyumbani na dollar against TZS?

au umeshaanza kurithi lile jimbo la same ma*****

Mbona unaandika majina ya watu vibaya sio Malechela ni Malecela...

Wewe ukiitwa LATIFA utajisikiaje?

Halafu kibobo nini?
 
Back
Top Bottom