Kamanda Lema kutoka selo Jumatatu

Ngoja nianze kutengeneza mazingira ya kutokwenda kazini ili nishiriki.....Nanyaro nasikia wana kutafuta na wewe

Wakimgusa Nanyaro watafahamu vita ya Wameru! Halitasalia jiwe juu ya jiwe. Taadhari kabla!
 
- Mkuu ulizia vizuri kwa nini Lema alikataa kutoka jela, utajua sio kabisa mnayodanganyana hapa! ha! ha! JF hamna baba hapa unasimama mwenyewe kujibu hoja! ha! ha! ha! Siasa za baba hamna hapa ni taifa mbele na kwanza!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA.

wewe tulia huko huko ughaibuni,hujui kinachoendelea arusha.nasikia cameron anawatafutia haki zenu!
 
william malecela umerudi tena?ohoooo'angalia mwenyewe shutuma unazotupiwa'mimi nahifadhi za mama wako wa kambo
 
Kuna mtu anaweza kukanusha habari ya William Malecela kwa kutupa maelezo ya kina? Kabla ya kumshambulia William tujiulize hizi habari katoa wapi? na nini hasa kinaendelea Arusha? Usikute ccm baada ya kuwahadaa wale madiwani bado wanaendelea kutafuta namna ya kuvuruga CHADEMA Arusha? It will cost CHADEMA anything kuangalia hii habari ya William kwa mawani!
Mkuu umefikiri kama yaliyokuwa kichwani kwangu!! Huyu jamaa hajaropoka tu,iwe kweli au uongo there is motive behind it!! Lakini pia William amebadilika kama ukimsoma kwa umakini! Haya si maandishi "yake" tusipuuze kama ccm wanavyopuuza mambo na kuja kuwa cost.William hajaongea haya kwa bahati mbaya! Rudia kumsoma neno kwa neno! Kuna kitu nyuma ya haya!! Kama Nanyaro amesoma haya na haja respond haraka maana yake amekwepa kukurupuka pia.read the motion mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Data za intelejensia ? mbona kijana unaanza kuchoka kabla ya umri au kwa vile mianya ya kujisogeza-sogeza imezibwa. Data hizo hizo zinadai unajitahidi sana kujifanya mwanasiasa wa magamba mzuri, kuanzisha tawi ili wakuite jikoni maana huyo mama sikashaanza kampeni za 2015.....!!!

- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
 
- Sikumpeleka Nape anywhere kwanza yeye yupo Ohio sasa hivi, niliyoyasema na mnayoyasema ni tofauti kabisaa ndio kama kawa kubadilisha habari na kutkana matusi tu, hakuna mahali nimesema nimempeleka Nape JFK na wala na hata hiyo picha hapo juu haina anything to do na JFK ilikuwa mahali pengine kabisaa ila kwa sababu ya kulazimisha habari kwa nguvu imeungwa ungwa ilei habari ili iwe kama mtoa mada anavyotaka na wengi wanavyotaka hapa, inasikitisha sana!

Le Mutuz Baharia! Willy @ NYC, USA

mkuu nikushauri ukitaka heshima yako isishuke achana na maneno ya umbea na majungu dhidi ya chadema.Heshima yote ya Nape imeshuka kwa sababu hii.
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
We f.ala umerudi?
facebook wamekukimbiza au??
 
wewe wilium malicela tunataarifa za tabia zako na shukuru waingereza wameshaanza kupigania haki zenu ili muweze kuja kuishi kwa amani hapatanzania vinginevyo ungepata shida. unamchukia lema kwasababu unajua kwamba anawachukia mashoga waziwazi hivyo anakunyima usingizi kwa wewe si bwabwa?
 
Kama kawaida ya magamba tutasikia  hakuna mkutano kisa eti Al-Shabab wanaweza eti kuataki.
 
Mkuu umefikiri kama yaliyokuwa kichwani kwangu!! Huyu jamaa hajaropoka tu,iwe kweli au uongo there is motive behind it!! Lakini pia William amebadilika kama ukimsoma kwa umakini! Haya si maandishi "yake" tusipuuze kama ccm wanavyopuuza mambo na kuja kuwa cost.William hajaongea haya kwa bahati mbaya! Rudia kumsoma neno kwa neno! Kuna kitu nyuma ya haya!! Kama Nanyaro amesoma haya na haja respond haraka maana yake amekwepa kukurupuka pia.read the motion mkuu!!
tuambie ni kipi cha ki-intelijensia ambacho huyu f.ala wa New york ameshawahi kukileta hapa.

Unajua kwa nini alikimbia JF kwa karibu 4 months???
intelijensia yenye busha hiyo!!!
 
Achana na akili za kushikiwa! Ningekuheshimu endapo hizo tetesi butu unazotuletea humu zingetaja pia sababu.
Haya basi, kama hujafilisika kimawazo, wewe binafsi unafikiri CHADEMA wana sababu gani ya 'kumtosa' Lema?
 
- Haya people kwaherini jamani tutaonana tena Mungu akipenda maana ninaendesha kuelekea Boston, MBARIKIWE ANA JF JUU ZAIDI NA KUMKOMA NYANI!

Le Mutuz Baharia! [/QUOTE]

Bostoni ya chichi?
Mimi mgogo wa mtera inanisaidia nini?
Wagogo wenzangu mbona mwaniangusha au wewe huujui mlenda na ugali wa dona?
Wakina matonya hawajui kusoma,wala kuandika na kuhesabu.huoni aibu?
Eti !am on ma way to boston" damnn
 
Masoud Kipanya aliwahi kuuliza swali zamani kidogo "hivi mpuuzi ni mtu anaepuuza vitu?" tuna viongozi humu,wakiandika mistari mitatu tu kwisha!
 
Wanajf tutulie kidogo. calm down wandugu. JF inasifika kwa wachangiaji kujibu hoja kwa hoja. Lakini naona kama tuna-personalise mambo zadi badala ya kujibu kwa hoja. Kuna thread nyingi tu siku hizi tunachangia kwa kumshambulia mtu personally badala ya kumnyonga kwa hoja. 'Tuvute pumzi ili jukwaa hili liendelee kuwa 'home of great thinkers' . Tafadhali
 
Mbona wewe mwenyewe hujadili hoja?
Ni sababu ipi inayofikirika kwa CHADEMA kutaka 'kumtosa' Lema, kama ambavyo isingeshangaza CCM kutaka 'kumtosa' Sitta?
 
willy ngoja tukuambie kitu, ukiona umeijingiza kwenye uzi kama huu na kuchangia kipumbavu kama hvyo sijui Lema nini na nini, unajidhalilisha. Kwanza tuna mashaka kama una uwezo mzuri, kwani watoto wa vigogo kama nyinyi mmebebwa na system na si vinginevyo. Bora unyamaze maana maisha ya mtanzania wa kawaida ww huyajui. Unajua utawala ukibadilika lazima utakuwa muhanga kwani shortcut mlizozizoea hutozipata. Na utajiri mlio nao utatoweka kama watoto wa Gaddafi, Mubarak, Saddam nk
 
- Siasa bwana unafikiwa hali ya juu sana, I mean the dataz zinasema Chadema wanataka kumtosa Lema ndio maana kakatalia jela kujijenga na wananchi incase atagombea kwa chama kingine, na hapa tunaambiwa maneno tofauti na ukweli on the ground zero, duh! hizi siasa ndio maana taifa letu itachukua muda mrefu sana kuendelea maana huu unafiki umekithiri sana!

Willy @ NYC, USA. Le Mutuz Baharia!
Welcome back kamanda.
 
Back
Top Bottom