Kamanda Lema kuanza Dar!!

Binafsi NINASHUKURU kwa kamanda LEMA kuja kututembelea DAR kwani TULIMKUMBUKA ingawa najiuliza maswali kadhaa:
1:NIA na MADHUMUNI ya kuja Dar
-PAMOJA na sisi WANA NCHI ambao Tume mmiss kamanda wetu ni vyema atakapo kuja aje kutueleza NIA na MADHUMUNI ya MAAMUZI MAGUMU ambayo VIONGOZI wa CHADEMA waliya chukua BILA KUJALI WANACHAMA TUNAJISIKIAJE WAKATI HUO na TUTAJISIKIAJE BAADA YA MAAMUZI YAO!!
-Otherwise,namtakia KAMANDA huyu wa WANA NCHI safari njema na MUNGU amlinde hadi pale Atakapofika Dar na KUJIBU MASWALI HAYO!!
 
Lema? Lema? Lema huyu si mchaga huyu? huku Dar hatuwafagilii wachaga ni wabaguzi hawa hawafai kupewa nchi
Wewe CCM gamba mdogo, maana siasa zenu za ukanda alizozindua Mukama ndo hizo, sidhani kama tutafika
 
Lema? Lema? Lema huyu si mchaga huyu? huku Dar hatuwafagilii wachaga ni wabaguzi hawa hawafai kupewa nchi
roho mbaya haijengi hata Mungu hapendi sikiliza hotuba ya mwl jk nyerere mei mosi mosi 1995 Mbeya.
 
Aj? na dodoma ?nze na wanavyuo maana kuna wanavyuo utadhania hawajaelimika

Mchngo wako wa kumshauri lema aje dodoma mzuri ila umeharibu kuwakandia wanachuo. Kwanza ni kweli mtu anapoenda shule ni kuongeza au kupata elimu sasa unaposema wenzio hawajaelimika una maana gani
 
Nyie baada ya kuongea mambo ya msingi mnaleta ukabila,nyerere alikata hiyo,achen ukabila na kutambiana
 
Back
Top Bottom