Kamanda Lema akaba hadi penalt matokeo ubunge

Status
Not open for further replies.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
Nimeshuhudia TBS wakitangaza matokeo ya Ubunge Kule Arusha, Kamanda Lema amesimamia kuhesabu kura na kutotoa mwacya hata hatua mbili hadi anatangaza matokeo akifuatisha msitari kwamsitari pembeni yake. Hadi Kieleweke.

Hapa Dar naona watu kila mmoja na magazeti huku wakiwa vikundi vikundi Asubuhi hii kabla ya Kuingia kazini. Ukichukulia matokeo ya Uchaguzi Arumeru, Mbeya na Mwanza, matokeo kukatwa mapanga wabunge wa Chadema huko Mwanza nawaona watu hapa Dar wenye dalili ya kuchanganyikiwa, wenye nyuso za matumaini, na wale wa bora liende.
 
Nimepitia ofisi ya Habari Leo kitengo cha Matangazo hapa karibu na Army round about, nimewaona wahariri wameshikilia magazeti kama wamenyeshewa vile, nikaoenda kwa mpokea adds na kuanza kumsumbua kwa kimombo kidogo, kikaamua kumwacha anababaika, maana wanapata ajira kwa kufahamiana bila kufuata stahiki. Wamebaki wakijiuliza huyu nani wakati natoka zangu mlangoni.
 
Bwana Yesu alimwaga damu yake Msalabani ili tupate UKOMBOZI kutoka utumwa wa dhambi! Damu ya wana CHADEMA ilyomwagika Mwanza, Mbeya na Arusha imetuletea USHINDI na MATUMAINI ya UKOMBOZI wa Taifa letu kutka kwenye mikono ya MAFISADI na VIBARAKA wake! Asanteni sana wananchi wa Mwanza, Mbeya na Arusha kwa UKOMAVU WENU! Vipi Tanga, sijayapata matokeo yake!! Peoples' Power!
 
Hawakujua mission iliyompelekea Lema kukataa dhamana na kwenda mahabusu alikuwa anajenga kama si kuboresha ujasiri, sasa wataanza kulaumiana.

Nilianza kujiuliza swali nani mwenye Tshirt ya rangi ya machungwa, nikagundua ni Kamanda Lema, wakati Mbunge Mpya amejifika zile nguo za kimasai za draft ametulia kitini.
 
Mgunge Mpya kasema, tulianza na nguvu ya Mungu na tumemaliza na nguvu ya Mungu, natutaendelea kufanya kazi kwa kumtegemea Mungu. Wengi, walinitukana, walidharau familia nakuona hainahistoria ya siasa, wao walikuja namajina makubwa na pesa nyingi, sisi tumejitokeza na umaskiniwetu na Mungu ndiye aliyefanikisha......
 
Tanga, kwa matokeo niliyokuwa nayo hadi naenda mtandaon, ni kuwa cuf walikuwa wamechukua kata ya kule, usiwasahau wananch wa Songea-Ruvuma pia kwa kuikubal m4c(chadema) na kuipa kata ya lizabon!
 
Bwana Yesu alimwaga damu yake Msalabani ili tupate UKOMBOZI kutoka utumwa wa dhambi! Damu ya wana CHADEMA ilyomwagika Mwanza, Mbeya na Arusha imetuletea USHINDI na MATUMAINI ya UKOMBOZI wa Taifa letu kutka kwenye mikono ya MAFISADI na VIBARAKA wake! Asanteni sana wananchi wa Mwanza, Mbeya na Arusha kwa UKOMAVU WENU! Vipi Tanga, sijayapata matokeo yake!! Peoples' Power!
hapa ndio ujasiri ambao tumekuwa tukiusema mara zote. Wapiga propaganda wamekuwa wakisema kuwa "hawa wanawadanganya, wakati mnapigwa mabomu wenyewe watakuwa hawapo", lakini sasa tunaona kuanzia Mh. Lema kukaa jela hadi hawa wapendwa wetu wa Mwanza kukatwa mapanga ni wazi kwa mwananchi wa kawaida kuwa Mleta vita Tanzania ni nani ...(Ni watawala -CCM)

Nimepitia ofisi ya Habari Leo kitengo cha Matangazo hapa karibu na Army round about, nimewaona wahariri wameshikilia magazeti kama wamenyeshewa vile, nikaoenda kwa mpokea adds na kuanza kumsumbua kwa kimombo kidogo, kikaamua kumwacha anababaika, maana wanapata ajira kwa kufahamiana bila kufuata stahiki. Wamebaki wakijiuliza huyu nani wakati natoka zangu mlangoni.

hahahahahaha kweli mcheka mwisho ucheka sana mhamhamha hahaaaaa
 
Mgunge Mpya kasema, tulianza na nguvu ya Mungu na tumemaliza na nguvu ya Mungu, natutaendelea kufanya kazi kwa kumtegemea Mungu. Wengi, walinitukana, walidharau familia nakuona hainahistoria ya siasa, wao walikuja namajina makubwa na pesa nyingi, sisi tumejitokeza na umaskiniwetu na Mungu ndiye aliyefanikisha......
najihisi kutoka machozi nikikumbuka huyu kijana alivyo kuwa akiwatambulisha wazazi wake na hasa mama yake jinsi alivyokuwa akiamkia soko kuu kununua mchicha akauze (vendor), this is truly emmerging from such humble background. Perfection doesn't exist but Arumeru mmewapa Watanzania wazalendo zawadi waliyostahili!

CHADEMA ni balaa,mheshimiwa Lema alikuwa akiongoza jeshi la ardhini huku kamanda Mbowe akiongoza jeshi la angani,wote wamesaidia CHADEMA kutochakachuliwa kura zao na magamba.
 
Lema anawajua huyo mwache awakabe hata kama ni mpaka klabuni kwao. Aibu yao hiyo! wa-Arumeru wamewaonyesha stahili yao! Mungu ibariki Tanzania.
 
Safi sana LEMA, ki-ukweli hata mi nimeona hiyo kitu, LEMA kabanana na mkurugenzi mpaka atangaze alikuwa habanduki pembeni yake maana hakawii kumtangaza mwingine afu awaambie nendeni mahamani.. ohoooo safi sana LEMA...
 
Hapa sasa napata jibu kwa nini CCM walikuwa hawataki Lema aende kwenye kampeni Arumeru
 
Lema kiboko, yule returning officer msaidizi aliyekamatwa live na Lema akibadilisha matoke hapo ukumbini kwenye computer hatujui kaishia wapi! Ila Lema kawakaba sana, watu kama hawa kwenye jamii wanahitajika sana maana arumeru mipango ya uchakachuaji ilikuwa imeboreshwa saana na ulizi ukawa juu zaidi!
 
Hata mimi niliiona hii ya Mh Lema "kukaba mpaka penati"! Bravo!
 
Nimeshuhudia TBS wakitangaza matokeo ya Ubunge Kule Arusha, Kamanda Lema amesimamia kuhesabu kura na kutotoa mwacya hata hatua mbili hadi anatangaza matokeo akifuatisha msitari kwamsitari pembeni yake. Hadi Kieleweke.

Hapa Dar naona watu kila mmoja na magazeti huku wakiwa vikundi vikundi Asubuhi hii kabla ya Kuingia kazini. Ukichukulia matokeo ya Uchaguzi Arumeru, Mbeya na Mwanza, matokeo kukatwa mapanga wabunge wa Chadema huko Mwanza nawaona watu hapa Dar wenye dalili ya kuchanganyikiwa, wenye nyuso za matumaini, na wale wa bora liende.
nadhani Tanzania nzima Dar wamezidi kutuangusha, haiwezekani wao ambao ndio wana nafasi kubwa ya kuona udhaifu wa uongozi uliopo pamoja na kuwa na habari za kutosha lakini bado wanaongoza kwa kuwapa nafasi za ulaji wale wale magamba, kisha wakiingia kwenye mitandao wanajidai kuporomosha matusi, very silly
 
Bwana Yesu alimwaga damu yake Msalabani ili tupate UKOMBOZI kutoka utumwa wa dhambi! Damu ya wana CHADEMA ilyomwagika Mwanza, Mbeya na Arusha imetuletea USHINDI na MATUMAINI ya UKOMBOZI wa Taifa letu kutka kwenye mikono ya MAFISADI na VIBARAKA wake! Asanteni sana wananchi wa Mwanza, Mbeya na Arusha kwa UKOMAVU WENU! Vipi Tanga, sijayapata matokeo yake!! Peoples' Power!

Pia damu ya Highness Kiwia imelia na ccm na ukombozi umepatikana.
pole zikufike mheshimiwa hapo Muhimbili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom