Kamanda kova must go!

Mponjoli

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
668
152
Ndugu wadau

Nimekerwa sana na namna polisi wanavyoliendesha suala la Jerry Muro hasa kamanda Kova ambaye anatafuta cheap popularity kupitia sakata hilo.

Alianza kwa kusema Jerry muro ametishia na kudai rushwa ambayo ni makosa ya jinai...........

Akabadilisha na kusema Muro amekutwa na pingu ambayo ni kinyume cha sheria kuwa nayo...............

Mara akasema Muro alikuwa anashirikiana na matapeli sugu kwenye sakata hilo na kuwahukumu hao watu kwa kuwaita matapeli na kuwanyima dhamana...........

Nadhani umefika wakati wa KOVA kuachia ngazi maana anapingana na vita dhidi ya rushwa ambayo Jerry Muro ni mshikadau. Kama kweli Jerry Muro amefanya hayo anayotuhumiwa, PCCB wapo kwanini asiwapelekee file wao waendelee na kesi kuliko kuendelea kubadilisha mashitaka kila kukicha????

NAOMBA WADAU TUMUUNGE MKONO JERRY MURO KWA SUBSCRIPTION KWENYE THREAD HII KAMA PETITION KWA KUANDIKA .....

KAMANDA KOVA MUST GO.....

Najua KOVA na polisi kwa ujumla wanafuatilia kinachoendelea kwenye mtandao huu na watafanya kinachotakiwa.
 
Wana JF
Sidhani kama tutakuwa tunamfanyia haki kamanda kova kwa kumtaka ajiuzulu kwa sababu ya sakata hili. Huyu kamanda ni mchapakazi sana lakini tatizo lake anapenda media attention sana. Amekuwa akifanya hivyo kili sehemu aliyokaa, kwa bahati mbaya hajawahi kujikwaa kama alivyojikwaa kwenye sakata hili[watoto wa dar husema amebugi stepu] nina uhakika hata yeye ndani ya moyo wake anajuta na anatafuta namna ya kujinasua na mtego huu[ kutokana na kauli yake ya juzi-kuwa hana matatizo na jerry ila awasilishe risiti za pingu].
Nadhani hapa somo kwake ni kuwa kwenye kila tamu basi kuna chungu yake- KARIBU DARISALAAM MHESHIMIWA KAMANDA
 
Abunuwas you are talking about J.Muro here! he is journalist and popular

Je watu wangapi wasiojulikana wanafanyiwa mambo ya aibu wengine wamefungwa wakiwa innocent, watu wanatubu makosa kwa kuteswa, watu wanabambikiziwa kesi n.k. Suppose angekuwa amepoteza hiyo risiti! na wengi sie so watunzaji wa risiti.

I thought You would have think beyond this Muro saga, just scratch a surface a little bit or see in this issue in other dimensions. I am pretty sure you will conclude that many police are monsters and Kova is a big monster! so he must GO! even if he will not go by my voice.
 
kilio cha polisi kubambikia watu kesi hakijaanza leo, mbona wengi wamebambikiwa bangi , unga na upuuzi mwingine, ili kukidhi matakwa yao ya muda mfupi au mrefu.....ila kilio hiki sasa kimepata pakusikikia, aibu kwa Kova aibu kwa jeshi zima la POLICE.
 
kamanda kova most go no comment zana za ubabaishaji zimeshapitwa na wakati watanzania tumeshaamka usingizini tunataka na viongozi walioamka usingizini pia
 
kilio cha polisi kubambikia watu kesi hakijaanza leo, mbona wengi wamebambikiwa bangi , unga na upuuzi mwingine, ili kukidhi matakwa yao ya muda mfupi au mrefu.....ila kilio hiki sasa kimepata pakusikikia, aibu kwa Kova aibu kwa jeshi zima la POLICE.
Kuna ndugu yangu mmoja wa Arusha aliambiwa akamtambue mtu ambaye si kati ya wale waliomvamia kuwa ni jambazi. Hiyo ni baada ya kuonyeshwa mtu mwenyewe ni yule hivyo tukiitisha gwaride ukamtambue. Yeye alikataaa kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Hivyo kuna wengi wanafungwa kwa sababu ya biff zao na polisi ama wakubwa wa nchi hii.
 
Kova ni askari shujaa aliyepoteza jicho lake moja katika kupambana na wahalifu. Sioni sababu kwanini ajiuzulu !
 
Kova alidanganywa na ktk sakata hili yeye anatumiwa sasa aliowatuma ili wamsadie ktk hujuma dhidi ya Jerry hawakuwa na uelewa wa kutosha na hivyo kumfedheesha Kova.

Kama ni kosa la kwanza basi ni vyema Kova akili kwamba yeye na aliowatuma wamekosea na hivyo wamlipe fidia Jerry.
 
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...
 
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...

murro si mualifu rekebisha kauli yako mahakama pekee ndio yenye uwezo wa kumuhukumu mtu mbali na hapo ni kosa na ushitakiwa kwa mujibu wa sheria
 
Wana JF
Sidhani kama tutakuwa tunamfanyia haki kamanda kova kwa kumtaka ajiuzulu kwa sababu ya sakata hili. Huyu kamanda ni mchapakazi sana lakini tatizo lake anapenda media attention sana. Amekuwa akifanya hivyo kili sehemu aliyokaa, kwa bahati mbaya hajawahi kujikwaa kama alivyojikwaa kwenye sakata hili[watoto wa dar husema amebugi stepu] nina uhakika hata yeye ndani ya moyo wake anajuta na anatafuta namna ya kujinasua na mtego huu[ kutokana na kauli yake ya juzi-kuwa hana matatizo na jerry ila awasilishe risiti za pingu].
Nadhani hapa somo kwake ni kuwa kwenye kila tamu basi kuna chungu yake- KARIBU DARISALAAM MHESHIMIWA KAMANDA

Kweli tupu Abunwasi hili sakata kwa akili tulizojaaliwa na mwenyezi mungu nila kufoji
...
ila si mnajua Gerezani huwa wanaingia hata wasio na hatia???naendelea kuuchukia uongozi wa nchi yangu
 
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...

pepe una uhakika gani na accusation zako Pepe?
kwanza ukijaribu kuangalia report za police zimenipinda pinda hazina dila wala mwelekeo
 
Kova haendi popote!
Muro ni mualifu kama wengine tu. Ngoja sheria ichukue mkondo wake...

hilo ni rahisi sana kusema; kwa vile polisi wana nafasi ya kuthibitisha hilo wafanye haraka. I guarantee you Mwendesha Mashtaka akirudisha file atawaambia hakuna kesi! Believe me.
 
Abunuwas you are talking about J.Muro here! he is journalist and popular

Je watu wangapi wasiojulikana wanafanyiwa mambo ya aibu wengine wamefungwa wakiwa innocent, watu wanatubu makosa kwa kuteswa, watu wanabambikiziwa kesi n.k. Suppose angekuwa amepoteza hiyo risiti! na wengi sie so watunzaji wa risiti.

I thought You would have think beyond this Muro saga, just scratch a surface a little bit or see in this issue in other dimensions. I am pretty sure you will conclude that many police are monsters and Kova is a big monster! so he must GO! even if he will not go by my voice.

Good explanation Web. I agree with you. I myself hate policemen they are snitches and backbiters. You can't trust a policeman. I have bad experience. Police are supposed to be friends not enemies. Do you remember that JF SAGA? That JF is a terrorist website? Who brought that? where did it end? Haven't they appologised?
 
Back
Top Bottom