Kamanda Kamuhunda awageuka wakubwa...

mara nyingi majina huwa yanasadifu matukio katika maisha
mfano aliekuwa kamanda wa polisi DSM enzi hizo alikuwa anaitwa MAJI akaenda na maji kwa kutimuliwa
DR kafumu alifumuliwa,
kamuhanda kichaga cha rombo ni kumtoboa mtu kwa mkuki au mshale sasa aangalie asije akajitoboa mwenyewe kwa uongo wake
video ziko wazi,picha ziko wazi ukweli anaujua moyoni kuwa anajitetea kulinda wakubwa
Damu ya mwangosi lazima itamuhanda tu(kumtoboa popopote atakapokuwa)
İ like this one,lazıma atatobolewa tu huyo it is just a matter of time!
 
watanzania tumekuwa wapiga bla bla tu bila ya kuchukua hatua, yaani watawala wanafanya shombo, sisi tunapiga domo tu, nao wanatujua hivyo kila siku wanarudia, yaani hatuwezi kuwapeleka the hegue hatuwezi basi hata sanduku la kura tunashindwa kulitumia? matokea yake ujinga unarudiwa, wanaficha pesa uswiss hakuna tunachofanya, nampongeza mama bisimba na wenzie, sasa watawala ma.kali.o yameanza kuwacheza,
 
Tangu kutokea kwa kifo cha Mwangosi nimejikuta nawachukia polisi na kazi ya upolisi pia
 
Acha wageukane. Kamuhanda kila anapotembea roho inamuuma sema hamjui tu. Ata aliyemtuma anamuona mjinga maana asingefanya kwa sataili ile. Na yeye tunamtumia wa kutoka Mwanza kwa Barrow wakamshughulikie
huyo is amatter of time, kushughulikiwa is inevtable.auwae kwa upanga kwa upanga huohuo. auwae kwa mtutu wa bunduki mtutu huo utatumika kumuangamiza.niikisikia kamhanda kafa siku hiyo mbuzi lazima achinjwe kutoa sadaka.
 
Tusiumize kichwa kuthibitisha ukweli kwamba mauaji ya Mwangosi ni maagizo ya wakubwa(miungu watu).Katika hili jambo "the very simple logic" ni kwamba kitendo cha wale askari waliokuwa wamemzunguka Mwangosi kumpuuza OCD ambaye alikuwa anawasihii wasimzuru Mwangosi ni kwasababu walijua kuwa wanatii maagizo ya bosi wao mkubwa zaidi kicheo kuliko yule OCD.Haiwezekani askari wa cheo cha chini akampuuza OCD kwa namna ile.

Kamuhunda nafsi inamsuta na sasa kaona ni bora aseme ili kama ni lawama basi na waliomtuma nao wabebe lawama zao.

Jk ataacha historia mbaya sana ktk utawala wake.Bado kuna kina Ulimboka nao wametendewe uovu wa kutisha chini ya utawala wake.Kwakweli huyu mkuu wa kaya mikono yake imejaa damu za watu.

Mwisho akumbuke madaraka ni ya muda tu na malipo ni hapa hapa duniani.
 
Sifongo imebidi ni comment, maneno mazito RIP wote waliokufa kwa unyanyasaji wa polisi wa CCM na utawala wao wa Magamba!
Inatia uchungu mkuu kwani wanaringa na kodi zetu, magwanda na bunduki vinatokana na kodi za kina Mwangosi wanazolipa lakini wanazitumia kutudhulumu, baradhuli hawa.
 
kamuhanda una roho gani .kwa jinsi ulivyoshuhudia A-Z TUKIO LA MWANGOSI UNA ROHO GANI?
 
Tangu kutokea kwa kifo cha Mwangosi nimejikuta nawachukia polisi na kazi ya upolisi pia

Mkuu sio wewe tu hata mimi.Mimi leo hii nikisikia kigogo wa polisi kauwawa wala sisikitiki ila nasema mungu analipa.Wao wanapouwawa raia kwao ni jambo dogo, tena la kipuuzi ila akifa mwenzao ndio utaona uwajibikaji wa polisi.

Kwa hatua niliyofikia hata nikisikia mkuu wa kaya kaaga dunia nitaona ni bora aende huko aendako labda wadanganyika watapata ukombozi kwani inaweza ikawa ni mwanzo wa kupata kiongozi mwingine anaejali watu wake na sio huyu asiechukua hatua dhidi ya wauaji wa raia.Anasahau kabisa kuwa ni hao raia maskini ndio baadhi yao walimpigia kura na kumuweka hapo alipo.

Haiwezekani kiongozi kushindwa kuwawajibisha watu kama hawa wanaoua raia licha ya madaraka makubwa uliyonayo.

Kwakweli huyu kiongozi analea uzembe kupita kiasi na ni majuto kwetu kwa yeye kuwa hapo alipo.
 
Natamani kazi iliyofanyika Mwanza badala yake ingefanyika kwa huyu kamanda!
 
Back
Top Bottom