Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

Status
Not open for further replies.
Mkuu, Kilewo

Hii kitu inafanyika wapi ndani ya Dar? I mean nikitaka kuja sehemu ya tukio ili nije kujumuika kwa kumwaga mchango wangu
inawezekana? kama jibu ni ndiyo, Je unaweza kutuelekeza ni wapi na utaratibu wake ukoje?
 
haukulazimishwa kuchangia ilikuwa ni hiari yako sasa hayo yote yametoka wapi?wewe unadhania hicho ni chama cha ushirika hadi usomewe mapato na matumizi au SACCOS?Nafikiri we ni GAMBA MVAA GWANDA HAWEZI KUULIZA HUO UPUUZI kwani kuna mambo mengi ambayo yanahitaji hela kukiendesha na kukiimarisha chama.Je unajua bei ya lita moja ya diesel au petrol?sasa unadhania uhamasishaji wa chama maeneo mbalimbali ya NCHI watu wanaendaga kwa miguu,wanakula mawe au wanalala juu ya miti?

upumbavu na upuuzi mwingine ni huu. Kama iko hivyo siko tayari kuchangia, japo chama ni changu na nataka mabadiliko. Wewe pia ni kikwazo cha mabadiliko pamoja na viongozi wetu wa chama wasiosikiliza ushauri uliotolewa
 
Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi, kielimu, huduma zote muhimu kama afya, usafiri, usafi wa mazingira, umeme,maji nk. Nina imani kama mchaga atapewa hii nchi na akapanga safu ya wachaga kuongoza basi baada ya miaka mitano kiuchumi tunaweza kuwa kama china, kiafya kama india, viwanda kama japan na miji yetu ikawa na maendeleo kama paris. Ipo mifano kidogo ya wachaga waliothubutu wakiwemo mrema, mtei...kimei ameipaisha crdb from grass root to a giant bank, mengi hakuna asiyejua mchango wake katika jamii, ananilea nkya karudisha heshima ya kina mama wengi,na wengine kibao. Sijui ni kwa nini watanzania wanashindwa kufungua macho kwa kuona uchapa kazi wa wachaga. Chukua mfano mji wowote ambao hauna wachaga then angalia maendeleo yake...wachaga wanaleta changamoto kila sehemu kwa hiyo mbinu ya kuwafanya wasitawale ni mahsusi kwa sababu wanaofiwa wakitawala watawafungua watanzania macho na hawataweza kunyonywa tena. Ikumbukwe kuwa sera ya kufungua mipaka na kuingia katika soko huria ilitetewa na mtei ambaye ni muanzilishi wa chadema muda mrefu enzi hizo akiwa gavana lakini mwalimu akamkatalia. Matokeo yake ni nini? Leo hii sisi ndio waumini wakubwa wa mambo yaleyale...watanzania tuamke tuwape wachaga nchi. Mimi si mchaga lakini nimekaa na wachaga ninawajua ni watu ambao wanapenda sana maendeleo, hawana ubinafsi, hawajivuni, wana upendo, ni wacha mungu nk. Hizo sifa nyingine kama wizi ni gender sterio type ila kwa sababu hawa jamaa ni very firm huwa hawakati tamaa wala kubisha nyie mnaongea wao wanafanya maendeleo hilo halina ubishi na anayebisha ajitokeze. T2015 cdm...aka chaga daima huwaza maendeleo

wale wale
 
Mkuu, Kilewo

Hii kitu inafanyika wapi ndani ya Dar? I mean nikitaka kuja sehemu ya tukio ili nije kujumuika kwa kumwaga mchango wangu
inawezekana? kama jibu ni ndiyo, Je unaweza kutuelekeza ni wapi na utaratibu wake ukoje?

Tulikuwa tunaalika watu kwa kadi, mpaka sasa kadi zimekwisha isha, kwa wale watakao kosa nafasi za kuja wachangie kwa njia ya mpesa kupitia namba 111333 inauwezo wa kupokea kiwango kibwa chochote cha fedha karibuni sana.
 
Ok thanks....all the best!
 
Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi, kielimu, huduma zote muhimu kama afya, usafiri, usafi wa mazingira, umeme,maji nk. Nina imani kama mchaga atapewa hii nchi na akapanga safu ya wachaga kuongoza basi baada ya miaka mitano kiuchumi tunaweza kuwa kama china, kiafya kama india, viwanda kama japan na miji yetu ikawa na maendeleo kama paris. Ipo mifano kidogo ya wachaga waliothubutu wakiwemo mrema, mtei...kimei ameipaisha crdb from grass root to a giant bank, mengi hakuna asiyejua mchango wake katika jamii, ananilea nkya karudisha heshima ya kina mama wengi,na wengine kibao. Sijui ni kwa nini watanzania wanashindwa kufungua macho kwa kuona uchapa kazi wa wachaga. Chukua mfano mji wowote ambao hauna wachaga then angalia maendeleo yake...wachaga wanaleta changamoto kila sehemu kwa hiyo mbinu ya kuwafanya wasitawale ni mahsusi kwa sababu wanaofiwa wakitawala watawafungua watanzania macho na hawataweza kunyonywa tena. Ikumbukwe kuwa sera ya kufungua mipaka na kuingia katika soko huria ilitetewa na mtei ambaye ni muanzilishi wa chadema muda mrefu enzi hizo akiwa gavana lakini mwalimu akamkatalia. Matokeo yake ni nini? Leo hii sisi ndio waumini wakubwa wa mambo yaleyale...watanzania tuamke tuwape wachaga nchi. Mimi si mchaga lakini nimekaa na wachaga ninawajua ni watu ambao wanapenda sana maendeleo, hawana ubinafsi, hawajivuni, wana upendo, ni wacha mungu nk. Hizo sifa nyingine kama wizi ni gender sterio type ila kwa sababu hawa jamaa ni very firm huwa hawakati tamaa wala kubisha nyie mnaongea wao wanafanya maendeleo hilo halina ubishi na anayebisha ajitokeze. T2015 cdm...aka chaga daima huwaza maendeleo

Chaga daima huwaza maendeleo kweli hii kali jamani ni zaidi ya chaga development manifesto!
 
Hivi wewe unakielewa ulichokiandika? silly you.Kwa hio wewe unatuaminisha kwamba Chadema ni chama cha wachaga.Ndugu,unajielewa au umelewa?
 
M4C forever... leo nyumbani mapemaaa. Tukianza na Mungu hakika hizo 5b si kitu kwake, tutazipata tu.
 
Ivi kwa nini mtu huru akitoa mawazo yake huru kupingana na hoja ya shabiki wa cdm anajibiwa kwa matusi? Haiwezekani tu kujibiwa kwa hoja ama kueleweshwa aachane na magamba
 
Msikose kuangalia vuguvugu la mabadiliko kupitia Star Tv leo saa tatu usiku. Lengo ni kuchagisha 5 bil.

M4C Dar es salaam, We have the power. 5 Bil inawezekana

Kwa wanaoweza kukaa eneo lenye jenereta wafanye maandalizi mapema. Electric power monopoly of the country nayo ipo active kwenye siasa.

Kila kukiwa na mikutano kama hii utasikia ghafla umeme umekatika hotuba ilipokuwa inaanza.

Mbowe kaamua kumpa mchaga mwenzake, Lema shavu la kuwaibia wananchi kwa slogan ya M4C=Movement 4 Chaga.
 
only83
acha kupotosha lengo la harambee hiyo. Tunajua kuwa harambee hiyo inahusu kuandaa mapokezi ya ulimboka ikiwa ni pamoja na kuchangia utengenezaji wa kanda yenye upotoshaji kuwa serikali ndiyo iliyohusika na utekaji.

hovyo, nahisi wewe ramadhani ighondu
 
Mbowe kaamua kumpa mchaga mwenzake, Lema shavu la kuwaibia wananchi kwa slogan ya M4C=Movement 4 Chaga.

Kawaida ya Magamba kuwaza ukabila, mnaimba wimbo ulioshindwa kuwasidia na bado mtaweweseka sana
 
Ivi kwa nini mtu huru akitoa mawazo yake huru kupingana na hoja ya shabiki wa cdm anajibiwa kwa matusi? Haiwezekani tu kujibiwa kwa hoja ama kueleweshwa aachane na magamba

Huna uhuru wowote wewe umefungwa na mapepo ya Chama Cha Mabwepande aka CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom