Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

Sababu kubwa ya haya yote kutokea nu kutokana na wao viongozi wanaofanya fyongo hata kwenye maisha nya watu kuwa na uhakika kwamba hakuna mtanzania atakayethubutu kuchukua hatua zinazoweza kupelekea kuhatarisha vyeo na nafasi zao.
Wanajiamini sana kutokana na kufanikiwa sana kwa kazi ya kuwapumbaza watanzania kwa hoja ya AMANI na UTULIVU inayorutubishwa na ignorance ya watanzania, wengi wetu kuishi maisha yasiyolingana na vipato vyao na kupungukiwa kwa kiasi cha kutisha kwa uzalendo.
 
Back
Top Bottom