Kama?!.....

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,702
Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!
 
nyuma ya kila anguko la mwanaume kuna WANAWAKE. three is a crowd mkuu

Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!
 
Yah! lipo wazi hata kwenye Biblia kwani Adamu aliangushwa na nani? Samsoni je? Wakuu wa nchi kibao....... lewinsky for instance, Mawaziri ....... wakuu wa mashirika .....mh! kina liyumba etc unadhani walikuwa motivated na nini?
 
Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!

Proverbs 12:4
A wife of noble character is her husband's crown, but a disgraceful wife is like decay in his bones

Proverbs 14:1
The wisest of women builds her house, but folly with her own hands tears it down.
 
Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!
Ni usemi maarufu huu......je Papa Benedict anayetawala  sehemu kubwa ya dunia unasemaje
 
Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!

Nakubaliana na wewe! Ila kwenye kufeli, kuna vimwana na visichana nyuma yake!
 
Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!

Huo usemi si kweli kihivyo. Kuna watu kibao tu ambao nawajua mimi ambao wana mafanikio bila ya kuwa na wanawake. Nadhani ni usemi tu ambao nia yake kuu ilikuwa ni kuwapa wanawake faraja ya aina fulani ili na wao wasijione kuwa wako duni na hawana mchango wowote.
 
i dont think kila successful man ana woman nyuma yake especially kwenye hii era ya homosexuality............
 
Halafu hata hiyo dhana ya mafanikio nayo ni subjective. Au tunazungumzia mafanikio gani hapa? Ya kikazi (career-wise), ya kimasomo, ya kijamii, ya kifedha, ya kiroho, au ni mafanikio yepi hasa? Au ni mafanikio yoyote tu kiujumla?
 
i think itakua yoyote yale except masomo....
 
Huo usemi si kweli kihivyo. Kuna watu kibao tu ambao nawajua mimi ambao wana mafanikio bila ya kuwa na wanawake. Nadhani ni usemi tu ambao nia yake kuu ilikuwa ni kuwapa wanawake faraja ya aina fulani ili na wao wasijione kuwa wako duni na hawana mchango wowote.
Kweli hili linawezekana kabisa,ila ni ngumu kwa married man,kwani feelings zake pamoja na mtazamo chanya wa maisha unategemea namna mke wake anavyomcare,akiwa mjinga na mume nae hatakuwa mtulivu!
 
i dont think kila successful man ana woman nyuma yake especially kwenye hii era ya homosexuality............
Mh!Hili nalo tatizo jingine,itakuja kuwa kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanaume nyuma yake!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom