Kama Wewe Ni Mzalendo, Usifungue Hapa: Utahuzunika - Haki Elimu!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
ya+bwatta.jpg

Plan (PEDP) popularly known as Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) 2002-2004 was a massive support to boost primary school education in Tanzania. it aimed at enhancing the both quality and quantity (structures to increase enrolment and enhance quality as well).BUT IN SOME PLACES OF THE COUNTRY - PEDP only came to pass!!

Photographed are the pupils of Juhudi Primary School in Kigoma Rural – district in Kigoma region- Tanzania in the 'modern and enhanced' learning environment as a result of MMEM!!!!! God forbid!

Rev. Emmanuel Bwatta of Anglican Church who took the fotoz, August this year (2009) reported that teachers at Juhudi primary school were reluctant to allow him to take the fotoz!! what do you think was the reason for their reluctancy??

Photos: Kind courtesy from Rev. Emmanuel Bwatta

Source: http://upolesana.blogspot.com/
 
Waalimu wakuu wa shule za misingi wanahusika sana kwenye ulaji wa pesa za MMEM.hili ninalifahamu fika
 
could it be the reason for such nice classrooms?
I reserve my comments! Nisijeambiwa nina chuki
 
Mkuu kuwa huru. Hili ni jukwaa huru pia. Mwaga comments zako ukweli ujulikane.
 
Virusi vya poverty vikivamia ubongo basi tena! Hao watoto hapo wana wazazi, kuna serikali ya kijiji, kuna walimu, na hata watoto wenyewe, kama ni matofari... udongo ule pale, kuni za kuyachoma zipo, hapo ni akili tu ndio haina akili
 
Mkuu; kama sikosei unamaanisha kuwa tatizo kubwa tulilonalo wakati mwingine ni akili na mitazamo yetu. ATTITUDE.

Kwa maana hiyo tunaweza kusema kunatakiwa Mapambano ya Kifikra vile vile.
 
unajua hizi fedha za MMEM zilitolewa mara tu baada ya kuanzisha mradi huo huo wa MMEM!

MAPUNGUFU-ni kwamba wizara ya elimu(labda kwa shinikizo la wahisani) iliamua kudelegate mamlaka na zile fedha kwenye ngazi ya shule,which means mkuu wa shule ndiye alikuwa na uwezo wa kuzi-allocate zile pesa eidha kwenye ujenzi wa madarasa,au ununuzi wa madawati.

SWALI-ni kwanini wahisani waliweka hiyo condition ya kuwapa wakuu wa shule mamlaka na zile fedha?(..tutalijadili..)

UBINAFSI-imeonekana ni ugonjwa sugu wa watanzania wengi.walimu wa shule za misingi (hasa vijijini) waliziallocate zile fedha MATUMBONI MWAO!..kibaya ni kwamba hatua kubwa zilizochukuliwa baada ya ubadhilifu huo ilikuwa ni kuwahamisha vituo vyao vya kazi........!

mfano halisi:ninawafahamu walimu waliiojenga nyumba zao kutokana na pesa za MMEM

NITAENDELEA............
 
Eeeh hapo ni Kigoma????

Ningekuwa Ngwasuma au Akudo.....ningesikia "wapi Mh. Zitto Kabwe"
 
mkuu; kama sikosei unamaanisha kuwa tatizo kubwa tulilonalo wakati mwingine ni akili na mitazamo yetu. Attitude.

Kwa maana hiyo tunaweza kusema kunatakiwa mapambano ya kifikra vile vile.
yes!!
 
Gharama ya servants' quarter ya nyumba ya Gavana inatosha kujenga shule nzima:

steved-albums-mh_pinda-picture806-gavana-ndullu-1-4bill-mansion.jpg
 
unajua hizi fedha za MMEM zilitolewa mara tu baada ya kuanzisha mradi huo huo wa MMEM!

MAPUNGUFU-ni kwamba wizara ya elimu(labda kwa shinikizo la wahisani) iliamua kudelegate mamlaka na zile fedha kwenye ngazi ya shule,which means mkuu wa shule ndiye alikuwa na uwezo wa kuzi-allocate zile pesa eidha kwenye ujenzi wa madarasa,au ununuzi wa madawati.

SWALI-ni kwanini wahisani waliweka hiyo condition ya kuwapa wakuu wa shule mamlaka na zile fedha?(..tutalijadili..)

UBINAFSI-imeonekana ni ugonjwa sugu wa watanzania wengi.walimu wa shule za misingi (hasa vijijini) waliziallocate zile fedha MATUMBONI MWAO!..kibaya ni kwamba hatua kubwa zilizochukuliwa baada ya ubadhilifu huo ilikuwa ni kuwahamisha vituo vyao vya kazi........!

mfano halisi:ninawafahamu walimu waliiojenga nyumba zao kutokana na pesa za MMEM

NITAENDELEA............

Geoff: Walipue tu. Kama kuna ushahidi wa kutosha mimi najitolea kuwaburuza mahakamani.

Ebo!
 
Eeeh hapo ni Kigoma????

Ningekuwa Ngwasuma au Akudo.....ningesikia "wapi Mh. Zitto Kabwe"

Labda si jimbo lake. Hata hivyo, kuwajibika katika swala hili ni lazima mbunge awakomalie wahusika?
 
Si ndio mambo ya serikali yenu ya Sisiem eti..Hapo unategemea utatengeneza wataalamu wa aina gani???
 
ya+bwatta.jpg

Plan (PEDP) popularly known as Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) 2002-2004 was a massive support to boost primary school education in Tanzania. it aimed at enhancing the both quality and quantity (structures to increase enrolment and enhance quality as well).BUT IN SOME PLACES OF THE COUNTRY - PEDP only came to pass!!

Photographed are the pupils of Juhudi Primary School in Kigoma Rural – district in Kigoma region- Tanzania in the 'modern and enhanced' learning environment as a result of MMEM!!!!! God forbid!

Rev. Emmanuel Bwatta of Anglican Church who took the fotoz, August this year (2009) reported that teachers at Juhudi primary school were reluctant to allow him to take the fotoz!! what do you think was the reason for their reluctancy??

Photos: Kind courtesy from Rev. Emmanuel Bwatta

Source: http://upolesana.blogspot.com/

Naomba yule rafiki yangu Ngida1 asije akaona hii, maanake anaweza kupata heart attack na baadae nikamkosa rafiki yangu mpenzi. Nikimkosa yeye nitakuwa sina mtu mwengine wa kumtegemea hapa JF.
MODS mnaweza kuiondoa hii kabla rafiki yangu hajapata heart attack????
 
Yaani hela za mieradi ya elimu zinaliwa waziwazi kama vile hakuna sheria ndani ya nchi hii ya kuwadhibiti watumiao vibaya mali za uma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom