kama we kweli msichana upo singo inakuhusu hii

Maybach

Member
Aug 16, 2012
27
6
NATAFUTA MPENZI"
1.AWE MZURI
2.AWE MSAFI
3.AWE NA HESHIMA KWA WATU WOTE
4.TABIA NZURI
5.ASIPENDE PESA
6.AWE NA MIAKA ISIZIDI 20
7.AWE MVUMILIVU
8.AJUE KUPENDA
9.SICHAGUI HALI..MASKINI AU WAKISHUA ME NTAMPENDA TU
:baby:
 
Labda mimi ni Kilaza, hivi Msichana asiyedhidi miaka 20 si anapaswa kuwa shule? sidhani kama mleta mada unajitambuwa.
 
Wadada siku hizi kuolewa imekuwa ni ishu kama kupata kazi mpaka uwe na qualifications fulani, lol!
 
yaani tunapoteza ada huko mashuleni hadi basi.

Unahangaika na tranka mtoto anatafuta mpenzi.

Nyie watoto mtatuua wazazi wenu.

Labda mimi ni Kilaza, hivi Msichana asiyedhidi miaka 20 si anapaswa kuwa shule? sidhani kama mleta mada unajitambuwa.
 
yaani tunapoteza ada huko mashuleni hadi basi.

Unahangaika na tranka mtoto anatafuta mpenzi.

Nyie watoto mtatuua wazazi wenu.
Umeona ee! Kweli wazazi kazi tunayo.
Miaka yetu haya mambo hayakuwepo kabisa!
 
Hapo kwenye suala la pesa. Utatafuta mpaka uchoke. Pesa ndo mapenzi. No pesa no mapenzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom