Kama wauwaji wa Watalii wamekamatwa ndani ya siku 2 kwann Olimboka ichukue Mieziiiii?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Mie sina imani na serikali kabisa ya CCM na kweli kesi ya nyani tunampelekea tumbili, iweje mtalii mmoja kuuwawa serikali yote ikahamia Serengeti na cha ajabu eti wahusika wamekamatwa na siraha zote na vilivyo ibwa.

Najiuliza kwa nini kwa Olimboka wameunda tume tena wanaipa mwezi kuna nini nyuma ya Jeshi la Polisi na serikali ya CCM???? Hawa ni wauwaji
 
Kama watu waliotaka kuua wabunge wa mwanza miongoni mwao wamo bungeni na hawajakamatwa.pia na hawa wanajulikana lakini hawatakamatwa kama ilivyo kwa wezi wa EPA
 
Ata ukiwauliza vichaa wa Mirembe wanajua,gvn is behind the issue! Wanazidi kujilipa ela za wa tz,kwa tume za kishetani!!
 
Ofkoz nami nimeona jamaa wamenyakwa,,,,hapo ndo huwa nawaona polisi wapo makini,,,,lakini kama serikal inahusika tusitegemee chochote
 
Back
Top Bottom