Kama watanzania wana macho na masikio basi 2015 lazima CCM itakua chama upinzani!

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
Jamani haya matumizi ya silaha za moto kwenye mikutano ya kisiasa,mauaji ya watu wasio na hatia,kukithiri kwa rushwa,hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu kwa tabaka la chini,ukosefu wa ajira na tabaka la viongozi kuzidi kutafuna mema ya nchi ni wazi kwamba
"WE NEED CHANGES"
MI SIJUI NINI KILITUFANYA TUMCHAGUE HUYU RAISI ALIYE MADARAKANI? MAANA NAONA SERIKALI YAKE IMEVAA BUKTA!
 
Back
Top Bottom