Kama vipi ng'oeni vi ATM VYENU

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
haiwezekani mtu unazunguka mji mzima kisa ATM.kama hamuezi kuvitumia virudisheni mlipovitoa sio kutuletea dhiki.kwanini hamzikarabati na kutuwekea hela zetu?hela tunazitafuta kwa shida hata tukishazipata mnataka tuzitumie kwa shida?
 
haiwezekani mtu unazunguka mji mzima kisa ATM.kama hamuezi kuvitumia virudisheni mlipovitoa kutuletea dhiki.kwanini hamzikarabati na kutuwekea hela?hela tunazitafuta kwa shida hata tukishazipata mnataka tuzitumie kwa shida?


kwani ulipigiwa mdundiko kwenda kuziweka kule??? hamisha we vp
 
SIKUMOJA ILINITESA
NILITOKA HOME NA BKU 2
NKAENDA PALE URAFIKI
NKAKUTA HAKUNA NETWORK nkachukua boda ili niwahi pale mlimani city napo hola
ikanibidi niombe boda linilete mtaani niombe hela sehem
nilikasirika mno loool
 
SIKUMOJA ILINITESA
NILITOKA HOME NA BKU 2
NKAENDA PALE URAFIKI
NKAKUTA HAKUNA NETWORK nkachukua boda ili niwahi pale mlimani city napo hola
ikanibidi niombe boda linilete mtaani niombe hela sehem
nilikasirika mno loool

pole sana.ile hali ya kukodi taxi eti ntakulipa tukifika atm naweza kutuumbua lol..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom