Kama vile visu vilikuwa vya CUF hii nayo ni ya CUF?

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano atuambie kama nayo imetengenezwa na CCM kwa vile ina rangi ya bendera ya CCM.
main(6).jpg

Iwapo zile zilikuwa propaganda za CCM, hivi CUF nao wakitumia fulsa hii kama propaganda tutawalaumu?
 
Attachments

  • Bunduki ya CCM.jpg
    Bunduki ya CCM.jpg
    17.7 KB · Views: 40
MODS ikiwezekana tafadhali nisahihishie Heading nilikuwa na maana .........hii nayo ni ya CCM?
 
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano atuambie kama nayo imetengenezwa na CCM kwa vile ina rangi ya bendera ya CCM.

main.jpg

Iwapo zile zilikuwa propaganda za CCM, hivi CUF nao wakitumia fulsa hii kama propaganda tutawalaumu?

Kama umeshajua kwamba ni propaganda, sasa pointi yako iko wapi hapa?
 
Mahita yuko "museum" analea mtoto wa nyumba ndogo - lete hoja za maana
 
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano atuambie kama nayo imetengenezwa na CCM kwa vile ina rangi ya bendera ya CCM.

main.jpg

Iwapo zile zilikuwa propaganda za CCM, hivi CUF nao wakitumia fulsa hii kama propaganda tutawalaumu?

Sina haja ya kuhalalisha kitendo cha Mahita eti tu kwa sababu zilikuwa propaganda. Propaganda siyo upumbavu kama ilivyokuwa, hata kama alitumwa na CCM kumutuma Mahita.

Furaha yangu ni picha inayoonyesha watu wawili tofauti lakini wote wakiwa wakuu wa nchi zao. Mgeni anaonekana mwenye furaha na bendera yetu mkononi kuliko mwenyeji ambaye anahangaika kuelewa.
 
Una maana gani hapo kwenye red?? Hivi ni lazima umdhalilishe JK katika kila jambo hata kama humkubali?????
 
Sorry picha niliyoiweka mwanzo iliokuwa inaonyesha rangi vizuri kutoka gazeti la Habari Leo imeondolewa hata kwenye link yake wameifuta lakini nimepata hii ingawa haionyeshi rangi vizuri
bunduki%20bandia2.jpg

Hii ni aibu kwa jeshi la polisi hata hawajua midoli na bunduki ya kweli.
 
Sorry picha niliyoiweka mwanzo iliokuwa inaonyesha rangi vizuri kutoka gazeti la Habari Leo imeondolewa hata kwenye link yake wameifuta lakini nimepata hii ingawa haionyeshi rangi vizuri
bunduki%20bandia2.jpg

Luteni,
Nimejaribu kukumbuka hii ni bunduki aina gani, sikuelewa lakini hizo gololi za yellow pembeni zinaeleza ni zile bunduki nilizoona ktk picha kwamba ni toys za kichina zilizokuwa zinauzwa na mama mmoja viwanja vya maonesho, 7-7. Toys hizi zimekataliwa na Polisi na kuamuliwa kutouzwa kabisa.

Je, ndo unazosema ktk message yako kuu?
 
Una maana gani hapo kwenye red?? Hivi ni lazima umdhalilishe JK katika kila jambo hata kama humkubali?????

Usihangaike kutetea mwanasiasa wa Tz mkuu. Wajitetee wenyewe! Nilitaka utofautishe aina hizo za wanasiasa kwa kuangalia body language. Of course tunafahamu utukufu walionao mbele yetu.
 
CUF walidunda waandishi wa habari, au ulifikiri yamesahaulika hayo?
Zile zelikuwa propaganda tuu za CCM, lakini tangia Jk aingie madarakani umesikia watu wakipigwa ovyo ovyo. Zamani vyma vya upinzani vilikuwa vikionekana kama vya uchochezi, lakini mambo sasa hivi shwari kabisa. Watu hawauawi kwa mambo ya kisiasa kama ilivyokuwa imezoeleka. All in all watu sasa hivi wanaenjoy siasa. I liked it!
 
Back
Top Bottom