Kama upo Dar this weekend

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Hivi weekend ndio inaanza.....
Kuna sehemu moja hapa mjini unapopigwa mziki wa ukweli ni GROOVE BACK na DJ Peter Mo', Rankim na Kelvin kila jumamosi pale Zhong Hua Garden. Kwa kweli muziki na cloud ni ya ukweli huwezi regret, kwa wanaopita njia hiyo usiku parking should tell a lot.
 
Mzee umelipia tangazo???

Ama ndo kibongo bongo, unasimika bango bila kulipia kodi wala manispaa kukuruhusu!!
 
Mzee umelipia tangazo???

Ama ndo kibongo bongo, unasimika bango bila kulipia kodi wala manispaa kukuruhusu!!

wewe umeona hili tangazo nini? nitaarifa tu kama zingine kuna watu wanahitaji sehemu za kwenda kujipumzisha wkend na hawana idea. Vipi na wewe ni wale wa brooklyn media nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom