kama ungelikuwa ni wewe ungefanyaje

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
kuna jamaa mmoja alimpa dent mimba kuona hivyo jamaa akaona bora aende kwa sangoma amsaidie maana miaka 30 inakaribia sangoma akamsaidia kwakumbadilisha nyeti zake kuwa za kike kwa muda ili ashinde kesi
siku ya kesi jamaa baada ya kusomewa mashata, jamaa alikataa, basi jaji akamwambia ajitetee jamaa akasema yeye hawezi kumpa ujauzito kwani anaonekana ni mvulana lakini ananyeti za kike baada ya kumchunguza ikaonekana ni kweli na kesi akashinda, lakini mtihani ukaja pale alivyorudi kwa sangoma ili amrudishie nyeti zake, na kukuta yule sangoma amefariki na hakuna sangoma mwingine ambae anaweza kumsaidia, je kama niwewe utafanyaje?????
 
Jesus Christ can heal that in just an eye blink moment.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom