Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
ila mi siwezi kula nje,sijazoea kabisa,siwezi nikacheat aiseeWewe ukiwa hushibi a hupewi chakula kwenu hautaenda kudusa kwa jirani?
ila mi siwezi kula nje,sijazoea kabisa,siwezi nikacheat aiseeWewe ukiwa hushibi a hupewi chakula kwenu hautaenda kudusa kwa jirani?
Mpeleke akaombewe huyo, ni pepo la uzinzi hilo!
ktk red naona atakua na pepo huyo mpeleke akaombewemimi ni mtumishi wa umma na mke wangu nimeishi naye miaka 7 na tumezaa mapacha na wengine 2,mama watoto anatabia ya kutoka nje ya ndoa ni kama amelogwa,nikitaka kumuacha nashindwa mana anajituma sana katika kujishugulisha na kazi za nje mpaka ndani na anajua vizuri kutunza familia,kama mapenz nampatia vizuri sana na pesa ya matumizi nampatia,sasa nifanye nini? nimezungumza naye sana anachokitafuta nje lkn wapi,mke mzuri ni yule mwaminifu na anayejituma na kazi,ushauri wenu wana Great thinkers