Kama ungeitwa Darling mwanaume au Jembe mwanamke.

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Inasemekana wanawake wanaongoza kwa kuitana majina matamu wao kwa wao kama,sweet,honey,dear,my love,darling nk. Na wanaume wanaongoza kuitana majina ya ajabu ajabu wenyewe kwa wenyewe kma ,mbiga ,mzushi,jembe,*****,mkaksi nk. Sasa hebu tuambizane ingekuwaje kama wanaume wangeitana majina matamu wenyewe kwa wenyewe na wananake majina ya ajabu wenyewe kwa wenyewe?
 
Wanaume sielewi hua tukoje!
Mara kibao nimeshaskia mwanaume anamwita mwenzake "We Mk*ndu !" tena katika hali ya amani wala hawana ugomvi.
Sindwa kusangaa!
 
Wanaume sielewi hua tukoje!
Mara kibao nimeshaskia mwanaume anamwita mwenzake "We Mk*ndu !" tena katika hali ya amani wala hawana ugomvi.
Sindwa kusangaa!

Mshikaji akiniita hivyo siyo mbaya (kiroho safi) lakini siyo aniite darling aisee,,,
 
Wewe niite ****, mwanangu, kamanda,mbwiga, jembe, koleo........Lakini usithubu kuniita honey au darling
 
Wewe niite ****, mwanangu, kamanda,mbwiga, jembe, koleo........Lakini usithubu kuniita honey au darling

aii wewe....na mkeo akikuita....we f a l a...coz huwa nasikia wanaume wakiitana hivyo....
 
Mwanamke akikuita aina noma ila si mwanaume mwenzio.:A S 27:
 
Back
Top Bottom