Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,439
- 78,607
Kama unataka demu sema aweje..aweje
kama akienda bogie unapenda atokeje tokeje
Ndio nataka demu lakini,tuanzie JF ila asiwe FF
awe kama Preta..mtoto anajua Kudeka
asiwe kama Afrodenzi..yule wa mbezi
awe na mvuto kama Mwali...wadau wate JF wanamkubali
JF..Chit Chat...