Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency

naomba kuchukua fursa hii kuwashukuru sana waanzilishi na wamiliki wa jamii forum,wana jamii forum na wadau wote.

mimi ni mmoja wa wamiliki na wa ba ra na niliamua kuweka tangazo letu hapa kama wiki sasa imepita na kwa kweli tumekuwa tukifuatilia michango ya watu juu ya kazi na kampuni yetu hapa kwa kipindi chote ,inafurahisha sana na ninapenda kuwapongeza sana kwa michango mizuri inayojenga na kusaidia sana.nawashukuru jf kwa kuliacha tangazo letu hapa kwa muda wote bila hata malipo,ukweli ni kuwa watu zaidi ya hamsini wametutumia cv zao hivi karibuni na ukiwauliza wamesoma wapi kuhusu sisi wanasema wameona tangazo letu jamii forum,ahsanteni sana.

la muhimu ambalo nimeamua kuja tena kuwaeleza waungwana ni kusisitiza kuwa kampuni yetu ipo ,inafanya kazi kwa bidii na kwa haraka sana,gharama zetu ziko wazi kabisa na hakuna rushwa wala dhuluma,na watu wote tuliopokea fedha zao kwa kipindi cha mwezi mzima sasa wamepata kazi na wengi wengine wako kwenye pending list na watapata kazi hivi karibuni.

ninapoandika ujumbe huu wapo watanzania 24 kwenye makampuni mbali mbali dsm,morogoro na arusha wakifanya interview zao leo tuu na wamepata nafasi hiyo kutoka hapa kwetu.

kuna watanzania 32 wako kazini sasa na wanafurahia kazi zao wakiwa wamesaidiwa na kampuni yetu.wako watanzania 52 watakaoanza kazi tarehe 2 /1/ 2011 ambao ni juhudi zetu na wote hao wamesaidiwa na ba ra.

kuna watanzania 420 kwenye database yetu na kila siku tunapokea cv 10 mpaka 20 za uhakika za watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi na mara moja tunawasaidia kwa malipo ya shilingi elfu hamsini tuu.

tunapokea nafasi za kazi kutoka kwenye makampuni tulioingia nao mikataba kati ya kazi 5 mpaka 8 kila wiki,na makampuni haya ni makampuni makubwa na madogo yenye uwezo wa kifedha na yenye uwezo wa kati,mashirika ya dini,ngo na mashirika ya kigeni.

matatizo;
watu wengi wanapata shida sana na sisi kutokana na kuwa hatuna address kamili kwa sasa,ni kweli kuwa tulikuwa na ofisi pale magomeni lakini umuhimu na mahitaji yetu yanaonekana kama ofisi ile haitoshi,tumeifunga na sasa tunamalizia ujenzi wa ofisi yetu pale mbezi beach africana nyumbani kwa md wetu,na hiyo itakuwa ofisi ya kudumu.

wito;
naomba wadau na wananchi wenye nia njema na watanzania kuacha upotoshaji,wapeni watu ruhusa ya kujaribu na kuona kama ba ra ni kampuni ya namna gani,hatumlazimishi mtu kutulipa fedha mapema na watu wengi tuu tumewapatia kazi kwa ahadi za malipo baadae na wengi wametulipa kutokana na juhudi zetu na jitihada na moyo wa dhati wa kuwasaidia.

with due respect i berg to present

""lets all make the tanzania we dream of""
 
HAWA JAMAA WANA DATABASE YA WATANZANIA KAMA MIA TATU SASA NA BADO WATU WENGI WANAMIMINIKA KKWAO NA WANAFANIKIWA WEWE KAMA UNASHIDA YA KAZI ELF HAMSIMNI SIO KITU

ILA KAMA UNASIKILIZA MANENO YA WAUNGWANA WA HUMU WALIOKAA KWENYE MAOFISI MAKUBWA NA KUCHAT THE WHOLE DAY HAYA KAZI KWENU.NAOMBA NISISITIZE MIMI SIO MFANYAKAZI WA BA RA MIM NI MTEJA WAO TUU NA NIMEPATA KAZI HARAKA SANA WITHIN A WEEK,HATA WIKI HAIJAISHA KWELI KWANGU NIMUUJIZA
TUMENI CV patakazi1981@gmail.com

Wadau tafadharini msijinasishe kwenye mtego ambao tayari mmekwishauona. Hawa ni wezi wa waziwazi tena wala isingefaa kuchukua muda wetu mwingi kuwajadili badala ya kuendelea na shughuli zetu za kujikwamua kiuchumi. Kwa INTELLECTUALS kama sisi (wana JF walio wengi) tumeshafahamu utapeli wao hasa ukizingatia jamaa (1) hawana ofisi zaidi ya mahotelini wanakozugia (2)hawana website ambayo pia ni "must be" kwa ulimwengu wa sasa na kwa aina ya kazi yao (3) Recruitment agency hawalipishi watu fedha wao hupata za kutosha kwa wateja wao (wanaotafuta wafanyakazi).

*angalia joining date zao kwenye JF ni za juzi tu tena zinakaribiana almost ndani ya mwezi mmoja!!!!!!!!!!!!!!!
*Mbona wateja "wanaodai kufanikiwa" wanakomaa sana kutoa ushuhuda kama si wamoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MATHEMATICIANS & IT Prof IN DEVASTATING RESPONSE
 
Nashukuru kwa kuliona hilo ...hawa ni matapeli tena wazoefu.
Mods na Administrators tafadhalini fanyeni kazi zetu kufuatilia hizi user IDs maana ninyi ndo wenye uwezo wa kuona credentials zao.
 
......silioni kama utapeli bali kama business venture kwa hawa jamaa! they know sasa hivi watu wengi sana wanatafuta vibarua, kuna watu hawajawahi hata kubahatisha ajira hata siku moja, kuna wengine (wengi) hawaridhiki na ajira walizonazo, iwe sababu ya maslahi duni au mazingira ya kazi mabaya au tu amechoka kuwepo hapo alipo etc!

Watu wote hawa wangependa kusikia maneno haya.....''nakuunganishia dili la kazi kwenye kampuni x & y, utapata kazi nzuri sana inayokidhi mahitaji yako etc.......! so kwa mjasiriamali yeyote yule hapa kuna fursa nzuri sana ya kibiashara..........! hawa wamekuja kivingine, tofauti na recruitment agents waliopo......! hawa wanamchaji anayeomba kazi moja kwa moja kwa ada ya Tshs 50k.....kumbuka wanaoomba kazi ni wengi sana kuliko wanaopata kazi....hence more money for these guys! wakati zile agencies zingine huchukua mshahara wa mwezi mmoja kutoka kwa mwajira kwa mtu moja waliomwajiri.....kiasi hicho ni kidogo sana kulinganisha na wanachopata hawa jamaa!

Issue hapa si cost unayochangia bali ni namna gani hawa BA wanaweza kupata kazi kutoka waajiri mbalimbali kuwashinda wale wengine ambao ni maarufu na very professional kama Radar, Prospect Africa, Enrich, Manpower etc etc? ni kitu gani kinawafanya hawa wapate kazi nyingi sana kuliko wenzao? je, na wao wanatoa hongo? na je, wanawezaje kuwa na uhakika kuwa ukituma CV utapatiwa kazi, wakati kuna ushindani unaoangalia vigezo mbalimbali ambavyo hutofautiana kutoka mtu mmoja mpaka mwingine na kutoka mwajiri mmoja mpaka mwingine? How can they promise to place all the people who have applied into employement? hii ni ngumu sana...people in current jobs are turning over jobs but not going out of employement...so kwa hawa (ambao ni % ndogo) unaweza sema wanaweza wasaidia.....lakini kwa fresh graduates na wengine wasiokuwa na ajira kabisa ni ngumu sana!

So to me these guys are just opportunists who have seen employment as one of big issues currently in TZ na hivyo wanataka kuitumia vizuri kujipatia kipato wao wenyewe huku wakijaribu kuwaaminisha watanzania wote kuwa wanao uwezo wakuwatafutia kazi.........! akili kichwani!
 
naomba kuchukua fursa hii kuwashukuru sana waanzilishi na wamiliki wa jamii forum,wana jamii forum na wadau wote.

mimi ni mmoja wa wamiliki na wa ba ra na niliamua kuweka tangazo letu hapa kama wiki sasa imepita na kwa kweli tumekuwa tukifuatilia michango ya watu juu ya kazi na kampuni yetu hapa kwa kipindi chote ,inafurahisha sana na ninapenda kuwapongeza sana kwa michango mizuri inayojenga na kusaidia sana.nawashukuru jf kwa kuliacha tangazo letu hapa kwa muda wote bila hata malipo,ukweli ni kuwa watu zaidi ya hamsini wametutumia cv zao hivi karibuni na ukiwauliza wamesoma wapi kuhusu sisi wanasema wameona tangazo letu jamii forum,ahsanteni sana.

la muhimu ambalo nimeamua kuja tena kuwaeleza waungwana ni kusisitiza kuwa kampuni yetu ipo ,inafanya kazi kwa bidii na kwa haraka sana,gharama zetu ziko wazi kabisa na hakuna rushwa wala dhuluma,na watu wote tuliopokea fedha zao kwa kipindi cha mwezi mzima sasa wamepata kazi na wengi wengine wako kwenye pending list na watapata kazi hivi karibuni.

ninapoandika ujumbe huu wapo watanzania 24 kwenye makampuni mbali mbali dsm,morogoro na arusha wakifanya interview zao leo tuu na wamepata nafasi hiyo kutoka hapa kwetu.

kuna watanzania 32 wako kazini sasa na wanafurahia kazi zao wakiwa wamesaidiwa na kampuni yetu.wako watanzania 52 watakaoanza kazi tarehe 2 /1/ 2011 ambao ni juhudi zetu na wote hao wamesaidiwa na ba ra.

kuna watanzania 420 kwenye database yetu na kila siku tunapokea cv 10 mpaka 20 za uhakika za watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi na mara moja tunawasaidia kwa malipo ya shilingi elfu hamsini tuu.

tunapokea nafasi za kazi kutoka kwenye makampuni tulioingia nao mikataba kati ya kazi 5 mpaka 8 kila wiki,na makampuni haya ni makampuni makubwa na madogo yenye uwezo wa kifedha na yenye uwezo wa kati,mashirika ya dini,ngo na mashirika ya kigeni.

matatizo;
watu wengi wanapata shida sana na sisi kutokana na kuwa hatuna address kamili kwa sasa,ni kweli kuwa tulikuwa na ofisi pale magomeni lakini umuhimu na mahitaji yetu yanaonekana kama ofisi ile haitoshi,tumeifunga na sasa tunamalizia ujenzi wa ofisi yetu pale mbezi beach africana nyumbani kwa md wetu,na hiyo itakuwa ofisi ya kudumu.

wito;
naomba wadau na wananchi wenye nia njema na watanzania kuacha upotoshaji,wapeni watu ruhusa ya kujaribu na kuona kama ba ra ni kampuni ya namna gani,hatumlazimishi mtu kutulipa fedha mapema na watu wengi tuu tumewapatia kazi kwa ahadi za malipo baadae na wengi wametulipa kutokana na juhudi zetu na jitihada na moyo wa dhati wa kuwasaidia.

with due respect i berg to present

""lets all make the tanzania we dream of""

binafsi nimepata kazi mbeya through ba ra naamini nipo kati ya hiyo list ya watu 52 tunaoanza kazi 3 january 2011 sio tarehe 2 /1/2011 tarehe mbili ni jumapili
 
yaani unaandika mambo hata uweki contacts humu, anuani etc
wengi wanaoandikaga hizi wanatakaga kujua jinsi ya kuandika zao na pia kuiba data

sasa kama umejibu au bado weka post ingine na kuandika contacts na majina ya wanaopokea cv's

mtu ataamini vipi cv ni nyeti kwa wengine

haya kaka/dada
 
You cant judge a book by its cover, athough first impression matters alot, My advice kwa hawa wadau inawezekana ndo wanaanza so ni vizuri kama wakitengeneza website yao vizuri ili watu wajue wasifu wao kwa mapana, na pia waonyeshe physical contacts, it will help
 
yaani unaandika mambo hata uweki contacts humu, anuani etc
wengi wanaoandikaga hizi wanatakaga kujua jinsi ya kuandika zao na pia kuiba data

sasa kama umejibu au bado weka post ingine na kuandika contacts na majina ya wanaopokea cv's

mtu ataamini vipi cv ni nyeti kwa wengine

haya kaka/dada

wazo zuri tunalibeba na kulifanyia kazi ,SHUKRANI;
 
Nimetuma cv yngu na mbili za jamaa zangu,nimehakikishiwa kuwa mko ok na mnawapatia watu kazi ontime,please nisaidieni hii kazi ninayofanya inanichosha sana
 
nimetuma cv yngu na mbili za jamaa zangu,nimehakikishiwa kuwa mko ok na mnawapatia watu kazi ontime,please nisaidieni hii kazi ninayofanya inanichosha sana

tumezipata,kama tulivyozungumza kwenye simu,tutakutana kesho
 
embu itundike hiyo form wadau tui-check kabla hutatapeliwa! haiingii akilini ....huna pesa na ndo maana unatafuta ajira but mtu anakwambia umlipe 50,0000. Isije ikawa na wao wamekosa ajira then wameamua watengeneze kadude kao ka kuwaingizi kipato. ha ha ha kweli nimeamini " Knowlege is Power"

Haswaaaaaaa,
 
naomba kuchukua fursa hii kuwashukuru sana waanzilishi na wamiliki wa jamii forum,wana jamii forum na wadau wote.

mimi ni mmoja wa wamiliki na wa ba ra na niliamua kuweka tangazo letu hapa kama wiki sasa imepita na kwa kweli tumekuwa tukifuatilia michango ya watu juu ya kazi na kampuni yetu hapa kwa kipindi chote ,inafurahisha sana na ninapenda kuwapongeza sana kwa michango mizuri inayojenga na kusaidia sana.nawashukuru jf kwa kuliacha tangazo letu hapa kwa muda wote bila hata malipo,ukweli ni kuwa watu zaidi ya hamsini wametutumia cv zao hivi karibuni na ukiwauliza wamesoma wapi kuhusu sisi wanasema wameona tangazo letu jamii forum,ahsanteni sana.

la muhimu ambalo nimeamua kuja tena kuwaeleza waungwana ni kusisitiza kuwa kampuni yetu ipo ,inafanya kazi kwa bidii na kwa haraka sana,gharama zetu ziko wazi kabisa na hakuna rushwa wala dhuluma,na watu wote tuliopokea fedha zao kwa kipindi cha mwezi mzima sasa wamepata kazi na wengi wengine wako kwenye pending list na watapata kazi hivi karibuni.

ninapoandika ujumbe huu wapo watanzania 24 kwenye makampuni mbali mbali dsm,morogoro na arusha wakifanya interview zao leo tuu na wamepata nafasi hiyo kutoka hapa kwetu.

kuna watanzania 32 wako kazini sasa na wanafurahia kazi zao wakiwa wamesaidiwa na kampuni yetu.wako watanzania 52 watakaoanza kazi tarehe 2 /1/ 2011 ambao ni juhudi zetu na wote hao wamesaidiwa na ba ra.

kuna watanzania 420 kwenye database yetu na kila siku tunapokea cv 10 mpaka 20 za uhakika za watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi na mara moja tunawasaidia kwa malipo ya shilingi elfu hamsini tuu.

tunapokea nafasi za kazi kutoka kwenye makampuni tulioingia nao mikataba kati ya kazi 5 mpaka 8 kila wiki,na makampuni haya ni makampuni makubwa na madogo yenye uwezo wa kifedha na yenye uwezo wa kati,mashirika ya dini,ngo na mashirika ya kigeni.

matatizo;
watu wengi wanapata shida sana na sisi kutokana na kuwa hatuna address kamili kwa sasa,ni kweli kuwa tulikuwa na ofisi pale magomeni lakini umuhimu na mahitaji yetu yanaonekana kama ofisi ile haitoshi,tumeifunga na sasa tunamalizia ujenzi wa ofisi yetu pale mbezi beach africana nyumbani kwa md wetu,na hiyo itakuwa ofisi ya kudumu.

wito;
naomba wadau na wananchi wenye nia njema na watanzania kuacha upotoshaji,wapeni watu ruhusa ya kujaribu na kuona kama ba ra ni kampuni ya namna gani,hatumlazimishi mtu kutulipa fedha mapema na watu wengi tuu tumewapatia kazi kwa ahadi za malipo baadae na wengi wametulipa kutokana na juhudi zetu na jitihada na moyo wa dhati wa kuwasaidia.

with due respect i berg to present

""lets all make the tanzania we dream of""
Tunakuamini Mkuu tusaidie wanaoleta LongoLongo wapotezee fanyeni kazi
 
wizi m2pu et unitafutie kaz wizi mtupu

Ahsante Murefu tumekusikia tumekuelewa,samahani sana sisi sio wezi,kama na wewe unatafuta kazi au una ndugu,jamaa,majirani na marafiki wanaotafuta kazi hii ni nafasi yenu ya kweli tumeni cv zenu patakazi1981@gmail.com bila wasiwasi na kwa uhakika mtapata kazi mara moja.
 
Back
Top Bottom