Kama unasoma,umepangwa,unaifahamu TEKU na Mbeya kwa ujumla,nisaidie.

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Nimepangwa TEKU-MBEYA,kuishi wapi ni afadhali,gheto au hostel?. Hostel wanataka ulipe sh.1000 kwa siku 1,zidisha mara siku 240. Jumla sh.240000(nadhani hii ni gharama ya semester nzima). Kama kuna mtu anasoma au anaenda TEKU na anauzoefu anisaidie. Au kama unaufahamu vizuri mji wa Mbeya,nisaidie tafadhali.
 
Mbeya kukaa mtaani ni ahueni zaidi kuliko hiyo 240,000/= kwa sababu hostel utalazimika kunjinunulia chakula. Hostel zao zenyewe sio nzuri ni kama dizaini ya Mabweni fulani hivi. Ukipata nyumba/Chumba chako maeneo ya Soweto (gharama kidogo kubwa kwa sababu ni karibu na Chuo), Ilomba, Sae na Mwanjelwa ni maeneo ambayo hutalazimika kupanda gari kwani unatembea na maisha yapo chini sana. Ukitaka kupanda gari walau kwa shilingi 300 kwenda na kurudi unaweza kuishi hata Nane Nane, Uyole, Mafiati, Airport, Soko Matola n.k

Kiufupi Mjin wa Mbeya ni mzuri sana kwa mtu mwenye maisha ya kawaida kama Mwanafunzi wa Chuo, ukipata mkopo utaishi bila shida yoyote. ONYO: Maeneo ya starehe kama vile Mbeya Carnival, Shaba Pub, Nebana na Pamodz ni hatari sana utafilisika (Utani!) .
Nondo pia zinatembea nje nje na mwaka jana tulizika Mwana Chuo wa TEKU
Vinginevyo Karibu sana Mbeya
 
Tafuta chumba eneo la Mama John hapo ni pua na mdomo na chuo kwa mwezi ni kama elfu 30.
 
Nashukuru sana Mkuu,tutawasiliana zaidi.
 
Tafuta chumba eneo la Mama John hapo ni pua na mdomo na chuo kwa mwezi ni kama elfu 30.

Asante mkuu,huyu mama ulinitajia tena siku nyingine,anajishughulisha na hii kazi ama? Hata hivyo ntamtafuta nikifika. Kaka uko Mbeya pia?
 
Mbeya kukaa mtaani ni ahueni zaidi kuliko hiyo 240,000/= kwa sababu hostel utalazimika kunjinunulia chakula. Hostel zao zenyewe sio nzuri ni kama dizaini ya Mabweni fulani hivi. Ukipata nyumba/Chumba chako maeneo ya Soweto (gharama kidogo kubwa kwa sababu ni karibu na Chuo), Ilomba, Sae na Mwanjelwa ni maeneo ambayo hutalazimika kupanda gari kwani unatembea na maisha yapo chini sana. Ukitaka kupanda gari walau kwa shilingi 300 kwenda na kurudi unaweza kuishi hata Nane Nane, Uyole, Mafiati, Airport, Soko Matola n.k

Kiufupi Mjin wa Mbeya ni mzuri sana kwa mtu mwenye maisha ya kawaida kama Mwanafunzi wa Chuo, ukipata mkopo utaishi bila shida yoyote. ONYO: Maeneo ya starehe kama vile Mbeya Carnival, Shaba Pub, Nebana na Pamodz ni hatari sana utafilisika (Utani!) .
Nondo pia zinatembea nje nje na mwaka jana tulizika Mwana Chuo wa TEKU
Vinginevyo Karibu sana Mbeya

Sasa mkuu hapo kwenye bold itakuwaje? Bado hii kitu haijaisha? Sasa mnaishi vipi? Au mnatembea na helmet muda wote usiku? Unanitisha.
 
umepangiwa mbeya daaa pole sana.kuwa mwangalifu na wapiga nondo.ukijisahau kidogo tu imekula kwako. Unapotembea usiku usipende kutembea pekeyako.
 
Asante mkuu,huyu mama ulinitajia tena siku nyingine,anajishughulisha na hii kazi ama? Hata hivyo ntamtafuta nikifika. Kaka uko Mbeya pia?

Dah kaka Mama John alikuwepo kitambo na alikua anamiliki kilabu kikubwa sana so alipata umaarufu kuanzia hapo ingawa kilishavunjwa na yamefunguliwa maduka pale. Ukiwah kuja kabla ya mwezi wa kumi utanikuta ntakupa matembez
 
Shukrani kwa info,nategemea kuja Mbeya siku yeyote kuanzia tar 10 october. Nimeambiwa nitafika saa saba usiku. Inamaana ntalala gesti,ishu ni kwamba siku inayofuata ntawezapata chumba ili nisikae gesti muda mrefu?
 
Dah hiyo tarehe me mwenyewe ntakua Dodoma kitambo sana. Kuhusu chumba labda ufanye mpango mapema la si hivyo utasana fanya mpango mapema ili usihangaike.
 
umepangiwa mbeya daaa pole sana.kuwa mwangalifu na wapiga nondo.ukijisahau kidogo tu imekula kwako. Unapotembea usiku usipende kutembea pekeyako.

Nashukuru kaka kwa ushauri. Mimi najiuliza,watu wengine wanaishije huko? Ntakuwa mwangalifu.
 
Gheto hadi vyumba ya booktatu unapata.

acha kumdanganya mwenzio wewe labda iwe sio mbeya mjini lakini kama ni mbeya mjini hata maeneo kama ILOLO, MABATIN, MAKUNGURU, hupati chumba cha book3 nimeish mbeya zaid ya miaka2 nimemaliza Sangu high school. Mtoa mada nenda ILOLO ULIZA KWA MZEE KIPAGILE ANAVYUMBA VYA 20,000 wanaish madent watupu wanapikia umeme nenda kajionee
 
Nashukuru kaka!
 
Back
Top Bottom