kAmA uNaJuA nIJuZe?

Jul 14, 2012
60
4
Hv kwa wale wanaosoma clinical officer under government sponsorship wanalipa ada kiasi gn? Na pia vyuo vya serikali vina hostel kwa ajili ya wanafunzi au mwanafunz anatafuta mwnyw hostel ya kupanga.
Ahsanten.
 
Sijui vyuo vingine ila ninaijua cotc ya kibaha ambayo iko Tumbi hospital wana hostel naikumbuka moja inaitwa muungano meal wanapata palepale. N.K
 
Back
Top Bottom