Kama Unajua n Unapenda HipHop Taja Mstari ambao unaukubali kuliko yote?

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,468
4,239
mine is.. I carry the cross, if Virgin Mary had an abortion
I'd still be carried in the chariot by stampeding horses
Had to bring it back to New York
I'm happy that the streets is back in New York
For you rappers, I carry the cross



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yeah jikusanyeni, ombeni amani acheni upuuzi ,kwa staili na vocal hizi, mitaani watu wamechizi, wanaoongopa hatuuzi, na bado hawanitishi, hawanitetereshi, kamwe mii siyumbishwi, na nyuma hainirudishi, nii vitaa badoo na sitaa kuruhusu mitaa iniite mii staa sikuu za pitaa badoo nakitaa wanakoma juu ya vipi
 
Nimewekeza miaka kibao kwa hapa nilipo mwana sikuzaliwa kwenye mali ilibid kuhangaika sana.....FA ,Msiache kuongea!
 
mine is.. I carry the cross, if Virgin Mary had an abortion
I'd still be carried in the chariot by stampeding horses
Had to bring it back to New York
I'm happy that the streets is back in New York
For you rappers, I carry the cross

Dah mtu mzima Nas huyo hahahaha ahsante sana kwa idea hii... ingekuwa poa mtu utaje na address kamili ya nyimbo husika!!!!

Ok, mi nawapa mistari ya Hashimu Dogo toka kwenye Mixtape ya Kikosi Cha Mizinga na Hardcore Unit ilifanyika Watengwa Records Arusha, mwaka 2004!

Hashimu anaanza (Huku akitumia beat ya Msinitenge ya Prof J.... originally hii beat Majani aliitengeneza kwa ajili ya JCB na Chindo ila baadae aka-snitch akampa Jay)
"Ninapotoka mimi, watu wanaogopa lakini,
hisabati ni kila kitu mabati yapo chinichini,
harakati za dini zinasikika kwa mbali, ingawa speaker ni kali watu wanasita kuswali,
saa sita tayari, kuna mahali unapita ni ka' unajipa kabali, hapo kamali inalipa,
wanapita askari, vita wakikushika wewe utajibu maswali,
Serikali imelaanika, inapotoka inafahamika, tunamoka na ala P wanachoka kuziandika....... nipe
!!!!"
Hii ngoma naisikiliza kila siku na bado naendelea kukubali kuwa huyu jamaa ni EMCEE mkubwa sana na naukubali uwezo wake kuliko hata baadhi ya maemcee wengi wa mbele.
 
pesa imekua adimu kama bikra kwa changudoa
maisha ni gwaride, ukiskia nyuma geuka wa mwisho anakua wa kwanza

huyu dogo anaitwa STamina, namkubali sana. yani kanifanya nimkumbuke Guru (RIP)
 
A baby is being born same time man is murderd,the beggining is the end..
 
more bodies being buried i'm losing my homies in a hurry they're relocating to the cemetary...got me worried, stressin, my vision's blurried The question is will i live? no one in the world loves me__me against the world
 
Ukishakuwa maarufu lazima ukubali skendo...
sio kila siku watasifu lazima watapiga dongo...
Kuna Wengine hawapitishi hata wiki wamefanya jambo...
Na wengine wakiona hawaskiki watajifanya wana skendo...
Gang Chomba ni yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kipara hakuna nywele style ya kiduku itapita...
 
Yeah this album is dedicated to all the teachers that told me
I'd never amount to nothin' to all the people that lived above the
buildings that I was hustlin' in front of that called the police on
me when I was just tryin' to make some money to feed my daughters
and all the niggaz in the struggle you know what I'm sayin'?
Uh ha it's all good baby bay-bee, uh
 
pesa imekua adimu kama bikra kwa changudoa
maisha ni gwaride, ukiskia nyuma geuka wa mwisho anakua wa kwanza

huyu dogo anaitwa STamina, namkubali sana. yani kanifanya nimkumbuke Guru (RIP)

Ukiona mzungu anajichubua ujue ana moyo wa Kiafrika...Stamina
 
and they say money talks
so dont ask me why i talk alot..
mtu mzima weezy baba yao...
 
Back
Top Bottom