Elections 2010 Kama unaitakia mema Tanzania usimchague Mh Slaa

Wadau hii threads inanini! Imekuwa top kwa mda wa kama sikutatu mchana nikauliza kama nayo ni sticky sijui ikawaje ikapotea ghafla ila imerudi tena! Inachangiwa sana au! Hazipo mpya! Any way mimi siipendi ya weza kuwa sababu!
 
kweli mkuu, lakini nadhani wachangiaji wengine tunaudhika na pumba tupu bila hata chembe moja ya mchele

mods huwa wanaziunganisha, na natumaini watatusaidia kutuwekea threads zilizoongoza kwapumba katika kila mwezi:A S 39:
 
Wadau hii threads inanini! Imekuwa top kwa mda wa kama sikutatu mchana nikauliza kama nayo ni sticky sijui ikawaje ikapotea ghafla ila imerudi tena! Inachangiwa sana au! Hazipo mpya! Any way mimi siipendi ya weza kuwa sababu!

Sababu kubwa hapa ni maneno ya kimapinduzi au ukipenda ya Kidikiteta, pale watu wanaposhauriwa kuchagua mtu na sio Chama.

Hivi unafikiri maneno hayo ni mepesi? Kwa wale wanaomjua msemaji wa maneno hayo ndio wanaotapatapa hapa, kwani ujanja wao tumeugundua.

Kwako maneno hayo ni sawa na hewa tu kwa sababu unaipenda nchi yako, tofauti na wale walioweka mbele makundi yao zaidi kuliko nchi.

Kwa siku saba zilizobaki tutafanya kazi ya kuwafichua na kuwaumbua mpaka waombe radhi.

Ujumbe wa leo: kama hujui thamani ya ALMASI waweza kuikanyaga na kuendelea zako, lakini aijuaye mhhh.........
 
Unaonekana mfereji wa mafisadi unakupitia kwa karibu. Huna uchungu na Tanzania ila CCM. Let CCM go to Hell the fire is waitin to burn them!!!!
 
Kuna hoja hapo au upupu wa kujaza server tu! Unahangaika na slaa! Kama mtu kasema usichague chama chagua mtu inamaana hata wanachadema wasichague chama ila mtu afaaye! Sasa naona mtu akisema haya anaonekana yupo against sisiem kumbe sisiem hamna mtu makini eeh! Mimi nafikiri upuuzi ulioandika hapo hauna maana ndio maana nashangaa yawezekanaje hii thread ikawa front page kila siku wakati ina hoja zinazoelea!
 
Nimesikia alipokuwa akihutubia Kawe amesema akichaguliwa utengenezaji na unywaji wa Gongo utakuwa ni huru.
Dkt Slaa amesahau kuwa mtu aliyelewa hawezi kujenga nchi.Hata mfuko wa saruji ukiuzwa kwa sh.2000 hatoununua badala yake atakwenda kununua gongo inayopatikana kirahisi.
 
Pointless bwana!! Kasimame wewe ugombee kwa tiketi ya ccm tuone kama hata udiwani utaupata. Au mwekeni fisimaji mmoja agombee uraisi uone kama atapata. Chama kina sera, lakini mtu ndiye mwenye nguvu, kama wewe unayemwogopa Dr. Slaa kwa kusema kuwa ni dicteta. Points zako ni contradiction tupu. Kajipange tena upya tena haraka sana maana siku zimekaribia.
 
Ndio siku zimekaribie, lakini moja la muhimu ni hapo uliposema:
"Au mwekeni fisimaji mmoja agombee uraisi uone kama atapata"

Ndugu yangu Chama ni 'trade mark' muhimu sana. CCM ilipomuweka MKAPA kugombea watanzania wote hawakumjua utendaji kazi wake wala hakuwa hata katika 10 bora waliojulikana (CCM) na watanzania. Hata 3 bora kwa wagombea wa upinzani. Watanzania walichofanya walichagua chama kwa vile walijua hata kama atateteleka basi wapo magwiji watamuonya hata pengine kutompa kipindi cha pili. Isitoshe ILANI YA UCHAGUZI ILIKUWEPO TAYARI, NA SI YEYE ALIYETENGENEZA. Hivyo alichotakiwa ni kufuata RELI tu na si vinginevyo.

Sasa wenzetu mnakotaka kutupeleka ni kule ambako Tanzania haipaswi kupita. Kuwa mtu (Rais) aendeshe utawala wa kidikiteta, asisikilize ILANI bali aendeshe kutokana na kichwa chake mwenyewe. Hivi nyie mnaelewa hatari ya haya maneno. Hivi mnajua ni asilimia ngapi ya wabunge wakitia kura za 'NDIO' ili kupitisha elimu bure. Atapata hiyo idadi ya wabunge? Hapa ndipo mtataka atumie mabavu. Na kwa kufanya hivyo ndio mwisho wa amani.

Jamani msicheze na watanzania mkidhani mtawaburuta mtakavyo nao kwa jina la amani watakaa kimya tu. Anayefikiri hivi anajidanganya. Ombeni radhi ili mjisafishe.
 
Hujasema chochote bado kuhusu ubaya wa Dr, President mtarajiwa. Be clear and specific on your concerns.
 
Ndipo mkazalisha EPA, Meremeta, Rada, Ndege ya Rais, Mikataba feki ya madini, etc etc.
 
"USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU"

Haya maneno umeyatunga kutuchakachua mawazo yetu, ushindwe na ulegeee kabisaaaaaaaaaa.Dr Slaa ni chaguo la wengi na chaguo la watu ni cahgua la Mungu.
 
Fafanua neno hili tafadhali "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Mbona mnajibu hewa, na ktk uongoizi ndio mtakuwa hivyo hivyo. tumewagundua!
Kama mtu aliyesimamishwa hafai, ni dalili tosha na chama hakifai. mgombea ni sura ya chama. Any other question?
 
Nimesikia alipokuwa akihutubia Kawe amesema akichaguliwa utengenezaji na unywaji wa Gongo utakuwa ni huru.
Dkt Slaa amesahau kuwa mtu aliyelewa hawezi kujenga nchi.Hata mfuko wa saruji ukiuzwa kwa sh.2000 hatoununua badala yake atakwenda kununua gongo inayopatikana kirahisi.
Source please? :ban:
 
nimesikia alipokuwa akihutubia kawe amesema akichaguliwa utengenezaji na unywaji wa gongo utakuwa ni huru.
dkt slaa amesahau kuwa mtu aliyelewa hawezi kujenga nchi.hata mfuko wa saruji ukiuzwa kwa sh.2000 hatoununua badala yake atakwenda kununua gongo inayopatikana kirahisi.
hudhulia mikutano wewe siyo swala la kusikia! Unakuwa kilaaaza
 
ndio siku zimekaribie, lakini moja la muhimu ni hapo uliposema:
"au mwekeni fisimaji mmoja agombee uraisi uone kama atapata"

ndugu yangu chama ni 'trade mark' muhimu sana. Ccm ilipomuweka mkapa kugombea watanzania wote hawakumjua utendaji kazi wake wala hakuwa hata katika 10 bora waliojulikana (ccm) na watanzania. Hata 3 bora kwa wagombea wa upinzani. Watanzania walichofanya walichagua chama kwa vile walijua hata kama atateteleka basi wapo magwiji watamuonya hata pengine kutompa kipindi cha pili. Isitoshe ilani ya uchaguzi ilikuwepo tayari, na si yeye aliyetengeneza. Hivyo alichotakiwa ni kufuata reli tu na si vinginevyo.

Sasa wenzetu mnakotaka kutupeleka ni kule ambako tanzania haipaswi kupita. Kuwa mtu (rais) aendeshe utawala wa kidikiteta, asisikilize ilani bali aendeshe kutokana na kichwa chake mwenyewe. Hivi nyie mnaelewa hatari ya haya maneno. Hivi mnajua ni asilimia ngapi ya wabunge wakitia kura za 'ndio' ili kupitisha elimu bure. Atapata hiyo idadi ya wabunge? Hapa ndipo mtataka atumie mabavu. Na kwa kufanya hivyo ndio mwisho wa amani.

Jamani msicheze na watanzania mkidhani mtawaburuta mtakavyo nao kwa jina la amani watakaa kimya tu. Anayefikiri hivi anajidanganya. Ombeni radhi ili mjisafishe.
we natamani ungekuwa marehemu
 
Hujisikia msemo "USICHAGUE CHAMA, CHAGUA MTU" Fafanua tafadhali.

Tunachagua mtu mwenye uchungu na nchi yake na si chama cha mafisadi CCM. Unadai rais hana nguvu, nani kakudanganya wewe? Labda ingekuwa Marekani au Uingereza ningekuelewa, ambako wananchi na wabunge wana nguvu ya kumkatalia rais jambo na ikawa na hakuna visasi na si kwa Tanzania ambayo watu (wakiwemo wabunge) wanamwogopa rais (hasa Kikwete mlipiza visasi) kuhofia maisha yao, kazi zao , biashara zao n.k.
Kwa kifupi ni maafa kuendelea kutawaliwa na CCM na hasa Kikwete akiwa kama rais kwani ameididimiza nchi tunaona hivihivi. Unadai kuna tatizo la elimu ya Dr. Slaa hapa inadhihirisha kuwa wewe huenda ndo uliyeandika ule waraka kutoka msikiti pale Mwenge. Tatizo lako ni udini. Nchi hii haina dini ila watu wake wana dini zao. Huwahurumii ndugu zako walioko huko vijijini wanavyoishii maisha duni huku wana mtandao wakiishi maisha ya anasa kupindukia?
Ushauri: Mchague Dr. Slaa kwa maendeleo ya nchi hii.
 
Unaipenda Tanzani? Msikilize tu Mh Slaa lakini kura yako mpe Kikwete.

Kwa hiyo option yako ni kwamba tumrudishe yule yule aliyeshidwa kungoza nchi? Wewe naona ni mtu ambaye HUNA HOJA ila una enjoy ku tease watu na kuona wanavyokasirika! Nimeshakushtuakia wewe kwa hiyo NA MIMI SIPOTEZI MUDA KUKUJIBU KWA HOJA.
 
Ndio siku zimekaribie, lakini moja la muhimu ni hapo uliposema:
"Au mwekeni fisimaji mmoja agombee uraisi uone kama atapata"

Ndugu yangu Chama ni 'trade mark' muhimu sana. CCM ilipomuweka MKAPA kugombea watanzania wote hawakumjua utendaji kazi wake wala hakuwa hata katika 10 bora waliojulikana (CCM) na watanzania. Hata 3 bora kwa wagombea wa upinzani. Watanzania walichofanya walichagua chama kwa vile walijua hata kama atateteleka basi wapo magwiji watamuonya hata pengine kutompa kipindi cha pili. Isitoshe ILANI YA UCHAGUZI ILIKUWEPO TAYARI, NA SI YEYE ALIYETENGENEZA. Hivyo alichotakiwa ni kufuata RELI tu na si vinginevyo.

Sasa wenzetu mnakotaka kutupeleka ni kule ambako Tanzania haipaswi kupita. Kuwa mtu (Rais) aendeshe utawala wa kidikiteta, asisikilize ILANI bali aendeshe kutokana na kichwa chake mwenyewe. Hivi nyie mnaelewa hatari ya haya maneno. Hivi mnajua ni asilimia ngapi ya wabunge wakitia kura za 'NDIO' ili kupitisha elimu bure. Atapata hiyo idadi ya wabunge? Hapa ndipo mtataka atumie mabavu. Na kwa kufanya hivyo ndio mwisho wa amani.

Jamani msicheze na watanzania mkidhani mtawaburuta mtakavyo nao kwa jina la amani watakaa kimya tu. Anayefikiri hivi anajidanganya. Ombeni radhi ili mjisafishe.

Sasa Kikwete tulishajua utendaji wake ni mbovu na rafiki wa mafisadi na majangili wa uchumi wa nchi yetu hatumtaki. Peleka taarifa kuwa watanzania wameshaamka kutoka usingizini na mwaka huu wanasema Kikwete hawamtaki. Sawa mamaaaaa!
 
Back
Top Bottom